Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Jk mwana kikapu mama

Usisikie, Jakaya Kikwete pekee ndiye alituletea kocha kama rais na programs kibao zikaanzishwa na mpira wa Tanzania ukawa unapanda.

Tunashukuru hajawasahau wajukuu zetu kwa kuwawekea viwanja vya kisasa vya mazoezi pale kidongo chekundu.

I wish ile ingefanywa kila kata.
 
Mambo mazuri mengi alifanya hata hamasa ilipanda sana kwenye soccer sema hakuwa na watu serious kuanzia wizarani,bmt mpaka tff alikuwa na passion ya kuinua soccer kaenda mwenyewe mpaka sunderland kuwashawish wajenge academy tz,katutangaza mpaka kwenye major ligi pale marekani lakini doohh hatukuwaza vyema na sasa ndo kabisa vingi alivyovianzisha nadhani kinauwawa kimojakimoja bado hatuko serious na matatizo yetu kama nchi
 
Mtoa, mada sikunyingine mtoe xavi weka iniesta kidogo angeendana na ao wengine. Mimi binafsi xavi hanitishi kwakuwa si mpenzi wa kufunga, ila iniesta akija golini anatisha maana haujui anafunga mwenyewe au anamtentenezea mtu.
 
Mkuu GENTAMYCINE unahesabu lakini?

Yap Mkuu ila nasikitika sana kuwa wengi wenu hamjui Soka kabisa kwani mnamtaja Mtu ambaye siyo mzuri na mahiri kumfikia Mtu mmoja hivi hapo ambaye kiukweli Wataalam wote wa Soka duniani wanamkubali mno na Jamaa anaujua. Narudia tena kama kweli Wewe unajua Soka na ukalicheza huyo Mchezaji huwezi kuacha kumtaja.
 
Kila mchezaji na wakati wake Deco alikuwa bora kwa kipindi chake hasa akiwa barca, pirlo vilevile akiwa juve, Xavi vilevile na huyu na mwenzie ndo walipelekea Messi kuwa bora
Siku zingne badili kidogo sema Messi aliwafanya wajulikane zaidi na watumie vipaji vyao kwa haki

Unapokuwa midfielder na ukawa na MTU ambaye unamwamini 100% ukipeleka mipira anaipokea na kufanya kinachotakiwa basi maisha ya soka kama Middle yanakuwa ya raha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ni wakipekee kwa sasa Barca Xavi hayupo vipi Messi kapungua kiwango? Hahahahaha kiwango kimepanda Mara dufu

Ineista ndo huyoo majeruhi kila kukicha vipi ubora wa Messi umepungua ? Jibu no bado ni Messi yuleyule

Kwa sasa Messi ubora wake ni mara dufu kwa sababu kabeba majukumu ya watu muhimu ambao hawapo barca tena Xavi na Ineista kwa pamoja anayafanya Messi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
akiwa vema kabisa.......DECO DE SOUZA was a more complete mid.he'd give everything u wanted in midfield.
 
Siku zingne badili kidogo sema Messi aliwafanya wajulikane zaidi na watumie vipaji vyao kwa haki

Unapokuwa midfielder na ukawa na MTU ambaye unamwamini 100% ukipeleka mipira anaipokea na kufanya kinachotakiwa basi maisha ya soka kama Middle yanakuwa ya raha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Messi ni wakipekee kwa sasa Barca Xavi hayupo vipi Messi kapungua kiwango? Hahahahaha kiwango kimepanda Mara dufu

Ineista ndo huyoo majeruhi kila kukicha vipi ubora wa Messi umepungua ? Jibu no bado ni Messi yuleyule

Kwa sasa Messi ubora wake ni mara dufu kwa sababu kabeba majukumu ya watu muhimu ambao hawapo barca tena Xavi na Ineista kwa pamoja anayafanya Messi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ubora wa messi umepungua tofauti na kipindi cha nyuma
 
Back
Top Bottom