Tanzania hii ina watu wenye akli, wajinga na wapumbavu....!!!
OzilKati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
Je kati ya hao hapo juu ni yupi ndiyo anafaa kuitwa ' pass master ' na ' engine room ' ya Timu yake awapo uwanjani?
- Deco De Souza kutoka nchini Portugal.
- Xavi Hernandez kutoka nchini Spain.
- Andrea Pirlo kutoka nchini Italia.
Karibuni ' mtiririke ' kimichezo zaidi.
Nimeshamwita Mama yako ' Mzazi ' nipo nae tayari. Sijui una lingine Mkuu?
Deco De Souza ma pusher kibao bongo wanatumia hilo jina..Lakini mtoto wa billionaire..winemaker Andrea Pirlo ni master of the Game. Passmaster..Style..Freekicks na the art of affecting the game without touching the ball..capisce!