Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Nilitizama sana football kiukweli ktk hiyo umweka viungo. Kwa viwango vyao xavi yuko vizuri sana ni mmoja wa wschezaji ambao nahisi ni ngumu kutokea tena. Tstizo viungo wanachoka mapema sana na hapa ndipo umuhimu wa pirlo yy ameweza kukaa muda mrefu na uwezo uleule japo umri umeenda sana
 
najisikia fahari kuwashuhudia hao wote watatu, wote ni hatari ila kwangu mimi deco alikuwa ni balaa,mpira aliyoucheza fc porto na barcelona ya rijkaard ni mkubwa sana.
 
Kati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
  1. Deco De Souza kutoka nchini Portugal.
  2. Xavi Hernandez kutoka nchini Spain.
  3. Andrea Pirlo kutoka nchini Italia.
Je kati ya hao hapo juu ni yupi ndiyo anafaa kuitwa ' pass master ' na ' engine room ' ya Timu yake awapo uwanjani?

Karibuni ' mtiririke ' kimichezo zaidi.
Ozil
 
Deco De Souza ma pusher kibao bongo wanatumia hilo jina..Lakini mtoto wa billionaire..winemaker Andrea Pirlo ni master of the Game. Passmaster..Style..Freekicks na the art of affecting the game without touching the ball..capisce!
 
Umemaliza kila kitu Mkuu na ' UZI ' closed sasa kuwa Andrea Pirlo ndiyo fundi na mtaalam wa ' kutukuka ' wa nafasi ya Kiungo na anajua kuitendea haki japo hao akina Deco na Xavi nawaheshimu pia. Wote mliomtaja Pirlo nimewakubali na mnajua kweli ' Soka ' hongereni sana.
 
Back
Top Bottom