Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

Kausha damu pro max
 
Nadhani hii kwa kivingine labda useme njoo na milioni nane tukukope gari la milioni ishirini ulipie ndani ya wiki atleast laki nne kila wiki (gari tutakupa after week twenty na wewe uwe umemaliza after week 52) Riba yetu laki Nane....

Nadhani hapo utapata wadau lukuki ingawa risk itakuwepo kwako labda ubaki na hati na waweke collateral...

Mambo ya vikundi yanaleta a different ball game altogether
 
Ongeleta maana wanachama wakapewa hayo magari alaf ndo waanze kichanga. Kwa yule mwanachama atakaepata gari wa mwisho hautakuwa na tofauti ya yy kujiwekea hiyo akiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…