Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako cash iliyobaki.

NB: Kwa sasa tupo 14 Ila tunatazamia Kuwa 20 (mwisho). Kuwa mwanachama Lazima uwe na shughuli za kukuingizia kipato na mdhamini pia utalazimika kusaini mkataba chini ya Wakili msomi, mwanachama hai wa TLS, mwenye leseni ya uwakili https://ewakili.judiciary.go.tz) wa kikundi.

**Utaratibu huu unaanza tarehe 01 Oktoba 2024.
***Bima Kwa majanga na kifo kwa wanachama vimezingatiwa.
Kausha damu pro max
 
Nadhani hii kwa kivingine labda useme njoo na milioni nane tukukope gari la milioni ishirini ulipie ndani ya wiki atleast laki nne kila wiki (gari tutakupa after week twenty na wewe uwe umemaliza after week 52) Riba yetu laki Nane....

Nadhani hapo utapata wadau lukuki ingawa risk itakuwepo kwako labda ubaki na hati na waweke collateral...

Mambo ya vikundi yanaleta a different ball game altogether
 
Ongeleta maana wanachama wakapewa hayo magari alaf ndo waanze kichanga. Kwa yule mwanachama atakaepata gari wa mwisho hautakuwa na tofauti ya yy kujiwekea hiyo akiba
 
Back
Top Bottom