Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

Mara nyingi pesa ni kuiweka mbali kabisa kiasi kwamba ukipata unforseen circumstances usiweze kuitoa ku clear hio issue.

Ukijiwekea mwenyewe inabidi uwe na nidhamu Kama ya MCHAGA ANAE SHINDA NA NJAA WAKATI ANAZO PESA MFUKONI😊

FINANCIAL EDUCATION wengi wetu hatunaa icho kitu kabisa tunaishi bila goals iwe Long term goals or short term goals.
 
Tunakwenda kubadilisha maisha ya wanachama kupitia kununua magari ya biashara zikiwemo Uber, pick up n.k
 
Mna card za CCM ?
 
JE mtu akiamua kujiwekea mwenyewe kwenye bank akaunti atakuwa kapoteza kitu?
Shida ni hiyo nidhamu ya kuweka kando 400k Kwa wiki au 2M Kwa mwezi.

Ukiweza ni bora ufanye hivyo mwenyewe. Vinginevyo pesa iwe inazalishwa iongezeke, kama ni kuikusanya tu na kugawana, bora ufanye mwenyewe. Zingatia kama unanidhamu ya kufanya hivyo.
 
kwahiyo hela ngoja nijinyime kwa mwaka ntakuwa na mln19.2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…