Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Check recent bond rates, ni ndogo sana, ni kama 7% hivi. Rate huwa kubwa iwapo Serikali inahitaji fedha za dharura ili kutatua shida zake. Nje ya hapo TB huwa na rate slice haswa
Serikali gani hio?
 
Nilinunua kiwanja kigamboni Tsh 11M mwaka 2018 mpaka sasa miaka 4 natafuta hata wa kunirudishia gharama yangu sijampata, viwanja kwa sasa si deal kabisa, unaweza ukafa na shida ukiwa na kiwanja . They are not liquid
 
Check recent bond rates, ni ndogo sana, ni kama 7% hivi. Rate huwa kubwa iwapo Serikali inahitaji fedha za dharura ili kutatua shida zake. Nje ya hapo TB huwa na rate slice haswa
Hizi ni rate za BOT za mnada wa Sept 2022.
 
Reactions: Gru
Nilinunua kiwanja kigamboni Tsh 11M mwaka 2018 mpaka sasa miaka 4 natafuta hata wa kunirudishia gharama yangu sijampata, viwanja kwa sasa si deal kabisa, unaweza ukafa na shida ukiwa na kiwanja . They are not liquid
Kipo maeneo gani?
Ni pm kwa maelezo ya kina
 
M
Watu wenye mahela mengi sijui kwanini huwa akili zao hazina akili,sijui kwakweli.

Mil 200 nisubiri faida ya 2m kwa mwezi,mweeeh Bana eeh hela sio zangu mimi inanikereketa nini kama sio kiherehere tuu...
Mkuu ukipata wasaa ukumbuke dm yangu
 
Nilinunua kiwanja kigamboni Tsh 11M mwaka 2018 mpaka sasa miaka 4 natafuta hata wa kunirudishia gharama yangu sijampata, viwanja kwa sasa si deal kabisa, unaweza ukafa na shida ukiwa na kiwanja . They are not liquid
Kabisa mkuu. Kuuza kiwanja au nyumba kwa bei unayatoka wewe ni lazima uwe na subira. Lakini kama upo kwenye wakati mgumu utauza mwa bei ya kutupa tuu
 
Watu wenye mahela mengi sijui kwanini huwa akili zao hazina akili,sijui kwakweli.

Mil 200 nisubiri faida ya 2m kwa mwezi,mweeeh Bana eeh hela sio zangu mimi inanikereketa nini kama sio kiherehere tuu...

Akili zake zingekua hazina akili asingefikisha 200m. Tatizo ujuaji mwingi. Yani mtu mwenye 200m unatakiwa umuogope na anapozungumza kuhusu mchongo wwte lzm ushtuke na ushike kalamu na karatasi
 
Mbona compound interest haiko hivyo
 
Hakuna asset ambayo ni risk free kasoro bond.

Kwa mimi namshauri mtu kununua hisa za makampuni ya USA (apate elimu kwanza) kuliko kununua hisa sijui za voda au jatu ambazo ukitaka kuziuza unakosa wateja
Platform gani unatumia inayokubali wabongo?
 
Hivi mfano umejenga nyumba ya ml 170 unaweza ukatoza Kodi kiasi gani kwa mwezi,na je utakua unafanya repair kiasi kila mwaka?

Kumbuka UTT ukiwekeza hiyo m170 utakua unapata gawio la 1.5m Kila mwezi. Hakuna kurepair nyumba, cjui risk ya nyumba kuungua au kupigazana kelele na kuzungushana nda wapangaji kulipia. Pia kumbuka hiyo 170m itakua inaongezeka thamani pia

Kupanga ni kuchagua.
 
Tena ni 1.7 ndio nilikua nataka nimpe maelezo Kama haya Tena ukitaka pesa yako unapata haraka kuliko nyumba
 
Samahani sana mkuu, baada ya kusoma hiz nondo zako naona kama majibu ya changamoto zangu yanakwenda kupatikana, naomba nikupm kama hutajali
 
Mkuu Kingoligarchy, kuna uwezekano ukauza T-Bond uliyonunua kupitia pesa ulizokopa saccos/uliyokopea bank kabla ya kumaliza marejesho huko saccos/ huko bank? Kama inawezekana ni kivip?

Na je, retail, kikundi, kampuni naweza kununua t-bond bila kupitia kwa broker?
Msaada wako pls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…