Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Samahani .hizo ni biashara kichaa

Inafanana na fixed account


Mara 100 hata ukajenga lodge au nyumba za kupanga
Siyo biashara kichaa wala haifanani na fixed deposit.
Fixed account huna Uhuru wa kuchukua pesa kabla ya muda ulioweka.

UTT Liquid fund kwa mfano, unaweza kupata pesa yako ili mradi utoe taarifa ya siku 3. Pia ukilipwa hakuna withholding tax kama kwenye fixed deposit.

Biashara ya kupangisha nyumba ni ngumu sana siku hizi. Unaweza upate mpangaji kwa muda mrefu, au ukapata mpangaji msumbufu kwenye kulipa.

Pia sidhani Kama unaweza kupata Kodi ya Tsh. 2,000,000 kwa kupangisha nyumba ya thamani ya Tsh. milioni 200,000. Kodi itategemea nyumba iko eneo gani na Kama inatumika kwa makazi au biashara.
 
Okay nimekueelewa mkuu
1. Una bond ya 200M inayotoa 12.56% per annum, coupon ni 25M per annum
2. mkopo wako ni 100-140M - rate negotiatable e.g 15% FOR 100-140M NI (15M - 21m roughly figures), so kwenye hesabu hapa naona umekosea kidogo
3. Kuna Mkopo wa Securities lOAN, basically unalipa kwa Coupon na sio monthly , Talk to your Bank Mteja ni Mfalme
4.Nimesema utajenga House ya 140M au 100 M na sio 200M , then kama wapenda exponential growth u can reinvest income from the house again to bonds (Buy new bonds) then use proceeds again wither to reinvest kwenye other business or consumption. Hii strategy growth yake ni Balaa.....


Mkuu unanifurahisha unaelewa chimbuko langu
Oligoi means Few +Arkhein means to Rule so OligoiArkhein few to rule >> ndani ya 19th Century ikawa Oligarchy ὀλιγαρχία.
Uhaya kidogo " miaka michache nyuma nkiwa kama Mshauri wa tajiri la kirussia nilikutana face to face kwa mara ya kwanza na Yuri Kovalchuk, Billionaire la kirussi lenye roho mbayaa sana lakini pia anatambulika Kama Personal banker wa Rais Mteule Putin wa Russia, lenye mafunzo kutoka KGB sasa inaitwa FSB. Piga maanalysis kama yote huku nikisubiri percent yangu ndogo itakayonifanya nipenetrate tanzania niwe kama Rostam au niende Kenya kuwa Economic assassin ! ama kupoachikwa jina la Yellsin-era Oligachs jijini moscow palepale.
Anyways , naona natoka nje ya mada.
Mkuu natumaini umenielewa, Mambo ya kirusi niweke pembeni kwa maana naandika nkiwa vitani Ukraine
Tumefanikiwa safirisha Tani nyingi sana kuingia Urusi! Hatupigani vuta za kawaida muda wote ni vita za kiuchumi

VITA ni uchumi: Story za Eacop na Bunge la Ulaya!

OLIGARCHY, CFA
FORMER KGB TRAINEE,
 
it depends on how much the 10 billion will grow in value in the market
after 25 years the bond will give you the same 10 billion.
So unaamini kuwa value ya hela itakuwa Ni sawa ama uta compensate na Ile riba. Mana unaweza ukapewa 12.5% kwa mwaka na inflation ikawa Ni 3-6% kwa mwaka so hapo huoni net yako inavyoathirika
 
Spasiiba bolishowe druk. Ti gde seichasi a shot to delaeshi. Mnye nravitsya vash ocheni
 
Uongo hakuna Bond inalipa kila mwezi
Amesema Bond Fund ambayo ni mfuko wa UTT unaitwa hivyo na inalipa gawio kila mwezi, miezi 6 au mwaka inategemea na kiasi ulichowekeza

Wewe unaongelea Treasury Bonds (T-Bonds) au Hatifungani za serikali kwa kiswahili ambazo gawio lake ni kila baada ya miezi sita (coupon 1 & coupon 2)

WOTE MKO SAWA ILA KILA MTU KAONGELEA JAMBO LAKE HAPO

HAMKUELEWANA VIZURI LABDA
 
That's how the system works. Wanabeba risk kubwa kuliko wewe unayewapa hela.

Anyway hawalazimishi.
 
Nyumba inategemeana na mambo mengi lakini UTT naijua vizuri hamna kitu ni very iliquidy assets.


Hivi kwanini watz hatuwazi uwekezaji wa kidunia ,sio lazima uwekeze tz.

Apple tangu 2004 imepanda 46000%


And tesla is going to do the same

Unawezaje kuwekeza kwenye masoko ya nje bila kupoteza pesa
 
Kiongozi oligarchy, napenda sana maandiko yako huwa hayachoshi kusoma mixer story za urusi , natamani ungefungua uzi humu jamii forum au hata channel telegram uwe unafundisha/unatoa elimu kusiana na masuala madogo madogo ya kiuchumi.Wengi wa watanzania suala la elimu ya kiuchumi na uwekezaji ni ZERO.

I hope utalifikiria hili.
 
Hasara inakuja vipi? ikiwa huo mkopo unaulipa kutoka kwenye mshahara...maana yake baada ya muda wa mkopo kuisha,utakuwa na hela uliyowekeza yote na zile faida unazopata.
 
Watu wenye mahela mengi sijui kwanini huwa akili zao hazina akili,sijui kwakweli.

Mil 200 nisubiri faida ya 2m kwa mwezi,mweeeh Bana eeh hela sio zangu mimi inanikereketa nini kama sio kiherehere tuu...
 
Hasara inakuja vipi? ikiwa huo mkopo unaulipa kutoka kwenye mshahara...maana yake baada ya muda wa mkopo kuisha,utakuwa na hela uliyowekeza yote na zile faida unazopata.
Kwahiyo pesa ya mkopo unakuwa umeokota, siyo?
 
[emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…