Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Watu wenye mahela mengi sijui kwanini huwa akili zao hazina akili,sijui kwakweli.

Mil 200 nisubiri faida ya 2m kwa mwezi,mweeeh Bana eeh hela sio zangu mimi inanikereketa nini kama sio kiherehere tuu...

The same to me .sijui kwanini watu wanakuwa waogo .mimi i love adventures

Naupenda sana ujasiriamali hata nikifeli nainjoi the lessons ambazo nimejifunza .Nashangaa sana mtu anayetafuta security.

Kitu ninachojifunza vijana tujifunze kutake risk wakati tukiwa bado wadogo ili tuwe guru kwenye biashara uzeeni.

Ukizoea ku take risk inafika point ambayo hakuna kitu kinakutisha kwenye biashara kwa sababu unajua hata nikianguka nitainuka tena.

Kama mwaka nimepiga Tsh mil 100+ kutoka kwenye mtaji wa mil 7 na Mwakani natarajia kukunja mil 200+.

Ndo mtu aniambie niwekeze kwenye bond[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

“Uoga wako wakupoteza ,utakukosesha hela nyingi sana”-Fred Vunjabei
 
Biashara/hela nzuri ni ile ambayo hata ukiipoteza yote na ukachukuliwa ukaenda kutupwa katikati ya burundi ,unaitengeneza tena ndani ya 2-3 years.

Ile process ya kubuild something from scratch is what i love .

Unakuwa umeinuka na kuanguka mara nyingi .
 
FALSAFA ZA OLIGARCHY:

MY 2 CENTS:

Kiufupi, Nipo kwenye uwekezaji zaidi ya miaka Kumi,

Wakuu nimesoma comments nyingi sana, mara real estate mara UTT mara Hatifungani, Concept ni nyingi lakini naomba nitoe njia yangu iliyonipa mafanikio kwa kiwango cha compounding.

Tujikumbushe:
Tajiri wa kwanza duniani Elon Musk, ni co founder wa makampuni mengi makubwa duniani including TESLA, SPPACE X, The Boring company. Pamoja na Utajiri wake wote Huu Hisa zake asilimia 50% zimekuwa PLEDGED kama COLLATERAL ya LOAN.

MO DEWJI KUNUNUA HISA ZA SIMBA

Mwaka 2016 Mo dewji aliwasilisha pendekezo lake la kwanza kuinunua simba, Fuatilia uzi Huu BILIONEA MO DEWJI AWASILISHA RASMI BARUA YA KUINUNUA KLABU YA SIMBA | Rundugai Blog , Lakini zoezi la kuilipa simba halikufanyika.

Tukiangalia Hapo chini , tunaona cheki imelipwa kwenda Kwa Simba sports club Endowment Fund.

Dhumuni la hii sio kuongelea simba bali ni kuwafundisha Financial Decision making na Utofauti kati ya Watu wenye fedha na watu wasio na elimu ya fedha.
View attachment 2364472

MY 2 CENTS:
Financial Assets classes zinazotoa yield PIA zinatumika kuhedge maamuzi ya biashara yanayofanYika , Elon musk alitaka kuimiliki twitter, ili kufanya maamuzi yake kwenye playbook ile ilibidi akope kupitia hisa za kampuni anazomiliki ili anunue Twitter (Musk says he has secured $46.5 bln in funding for Twitter bid) . Hii inaonesha hajatumia pesa yake kumiliki kampuni ya twitter kwa term nyingine tunasema amemiliki Twitter kupitia Other peoples Money (OPM). Funzo: Ukitaka kununua vitu itengenezee asset Hisa au Hatifungani ambayo itakuwa kama Backup yake

Mfano:
Nina Tsh 200,000,000 nataka ninunue Gari/Nyumba ya kuishi (Liability) ya Millioni 100, Way forward is Buy a Treasury Bond then ikopee utapigwa haircut 70% roughtly 140M lakini wewe chukua 100M nunua unachotaka kufanya may be a car (liability) au nyumba then Mkopo uliochukuliwa utajilipa na Coupon za hatifungani, after 6-8 years utakuwa na vyote Gari/Nyumba uliyonunua Plus Bond ya 200M plus Coupon ya kila semi annual
Insteas ya ungenunua kile kitu then value ingepotea.

Je unadhani Mo dewji alishindwa kulipa Mil 200 cash kuinunua simba? Hapana sio kweli kwenye ulimwengu wa kifedha kama angetoa pesa ile cash ni upuuzi wa hali ya juu. from 2016-2021 ni 5 years, kama angewekeza hzo hela kwenye Hatifungani maana yake angepata coupon za Estimated 80% value (15.95% estimates x5) so kuweka hyo hela kwenye asset classes ingemaanisha ameipata simba + ameretain value ya hela yake.

Maana ya Endowment Fund:
Huu ni mfuko wa uwekezaji ambao unasimamiwa na fund manager, hela zinawekwa halafu wanainvest kwenye both Traditional na Altenative Investments. Kwenye kila returns za kila mwaka ,kuna kuwa na withdrawal policy ila nyingi hela zinakuwa utilized nyingine zinarudishwa mfano:
Bil 20 za dewji wakanunua 25 years Bond 12.56% per annum maana yake kila mwaka watapata coupon za (12.56%*20) =2.5 Billion , ambapo 1 billion anaweza akairudisha kuinvest , so next year mfuko utakuwa na 21B instead of 20 halafu 1.5B ikatumika kwa kazi nyignine za simba.
Tafakari why endowment Fund? if you buy a share where does the money Go. (discussion for another time)

View attachment 2364497

So Quick Killer points:
1. Kuna utofauti baina ya uwekezaji na Biashara, msichanganjye hizi mambo
2. Ukiwa na mtaji unaweza ukauwekeza ili kuulinda halafu ukaukopea baada ya hapo ndo ukafanya Biashara unayoitaka, Jiwe moja ndege mia

JIULIZE HALAFU FANYA MAAMUZI:
Una Milioni 200 ni bora ujenge nyumba ya kupangisha hela yote then kazi iishe? kumbuka return ya real estate kwa mwaka ni Single Digit

au

Kuwa Mjanja , chukua Milioni 200 Nunua Bond ikopee pata 140M , Jenga nyumba ya 140M pangisha
Mapato ya kupangisha mengine rudisha kununua bond,afetr 8 years Rudia njia ile ile. (Exponential Growth ndo kila kitu)

Soma: THE RICHEST MAN IN BABYLON , POOR DAD RICH DAD,
Jifunze: Utofauti wa asset na liabilities, Kusoma na kutengeneza Financial Statement (Personal).

NTASHUSHA ANDIKO SOON : THE BANK & OPM STRATEGIES (OTHER PEOPLES MONIEEEEEE)
- Kama makampuni yana Financial statement pia katika individual lvel lazima uwe na financial statement na Auditor wako ni mke wako 😉😉😉😉
-kama kwenye financial world watu wanahedge Liability, at individual level pia u can hedge your liabilities (Eti nyumba ya kuishi ni Liability au asset? Na nyumba ya kupangisha je ? liability au asset?🙄🙄🙄
  • Interest Rate Arbitrage * Ngoma hapa ntaongelea namna ya kupiga hesabu zilizomfanya simba kuwa Mfalme wa pori na kumwacha mdomo wazi Tembo mwenye mwili mkubwa! eti ukienda mbuga za wanyama unataka umwone Simba au Tembo?
  • OPM vs Geo investment Opportunities- Vuka border hujazaliwa Tanzania umezaliwa duniani

Nimeongea Kimafumbo vitu vingine ila natumaini umepata kauelewa kidogo.

OLIGARCHY, CFA
(Tanzania hatufiki 10 Accredited CFA Holders) "Nina uhaya ndani yangu, relax kabla hamjaanza kunipiga nyundo"
You nailed it mkuu,hii post imemalizwa na hii comment.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Tuulize tulionunua hisa za Voda kila ukiweka sokoni haziuziki. Na wakati UTT ukitaka pesa zako ni ndani ya 5-10 work days unapokea mzigo wako.

Ukinunua hisa unakua na wewe ni sehemu ya umiliki wa kampuni husika na ndio maana unaalikwa kwenye annual meetings kwa hiyo kupanda na kushuka kwa thamani ya hisa lazima uhusike kwa sababu na wewe ni mmiliki lakini vipande vya UTT ni tifauti kwa kwa sababu uwekezaji unafanywa kwenye makampuni yanayofanya vizuri sokoni na pesa yenyewe inagawanywa sehemu tofauti tofauti.

Kwangu naona bora nikawekeze UTT kuliko hisa
UTT wanaalika members zao kwenye annual meetings pia. Hii PDF file niliyoambatanisha ni report moja wapo baada ya annual meeting ya mfuko mmoja wapo UTT. Ungeweza kuingia website ya UTT na kupata documents nyingi sana na zingejibu maswali yako mengi sana. Wapo wengi wanaobeza hapa lakini hawana ufahamu halisi wa mutual funds kama UTT ni kitu gani.

Jukumu la kujifunza unalo mwenyewe kwa kusoma vitabu, tafuta materials kwenye website husika, tembelea ofisi husika na uliza maswali, na mwisho wasiku utapata picha halisi ya kile unachotaka kukijua. Lakini hapa watakuja watu watakuambia mambo mawili matatu lakini kutokana na changamoto ya kwamba kuna watu wengine watakuja na kubeza bila kuwa na uelewa wa kutosha, utajikuta wewe unayumba.

Ningependa kuweka baadhi ya mambo sawa kulingana na nilivyoona comments nyingi humu.

1. Investment sio kitu sawa na biashara

2. Mifuko mingi ya UTT ina kua kwa compound interest rate >12% ambayo ni kubwa kuliko inflation rate ambayo ni kama 4%

3. Watu wengi wana mindset ya kufanya kazi/biashara na kupata income, wanaona kama investment na kutegemea the power of compound interest na kupata passive income ni uzembe.

4. Pesa unayotoa kwenye mfuko wako wa UTT haikatwi kodi, ila kwa baadhi ya mifuko wanakukata 1% as an exit load.

5. Watu wengi hawafikirii long term combined with the power of compound interest. Mfano vipande vya umoja fund mwaka 2005 vilikua TZS 100/kipande wakati saivi kipande ni kama 850 TZS/kipande. Sasa ni miaka 17 imepita. Fikiria mtu angekua amemuwekea TZS 3M (mwaka 2005) mwanae mdogo kwa ajili ya elimu ya juu. Mtoto anafika umri wa kwenda elimu ya juu leo(2022) angekua na kama TZS 24M, ambayo inatosha kumsomesha bila shida. Na bado sioni kama 24M ya leo ni sawa na 3M ya 2005, labda mimi sielewi inflation inavyofanya kazi, nileweshwe.

6. In a short term (one year, two years, few months) thamani ya vipande inaweza kuonekana imeshuka but in a long term, the graph is almost certainly going up!!
View attachment ANNUAL REPORT FOR LIQUID FUND- YEAR 2021_0.pdf
 
Kwahiyo pesa ya mkopo unakuwa umeokota, siyo?
Mfano chukua mkopo bank wa milion 32 kwa miaka 7 uwe unarudisha 582,142....hapa baada ya miaka saba utakuwa umewalipa bank jumla ya Tsh 48,899,928.
Lakini hiyo milion 32 tulifanye uliweka UTT ikawa inakuingizia 320,000 kila mwezi....kwa miaka saba hiyo hela itakuwa imekuzalishia 26,880,000.....sasa hii faida jumlisha na milioni 32 uliyowekeza jumla baada ya miaka 7 utakuwa na 58,880,000.
Naomba unielemishe kama nitakuwa nimebugi.
 
UTT wanaalika members zao kwenye annual meetings pia. Hii PDF file niliyoambatanisha ni report moja wapo baada ya annual meeting ya mfuko mmoja wapo UTT. Ungeweza kuingia website ya UTT na kupata documents nyingi sana na zingejibu maswali yako mengi sana. Wapo wengi wanaobeza hapa lakini hawana ufahamu halisi wa mutual funds kama UTT ni kitu gani.

Jukumu la kujifunza unalo mwenyewe kwa kusoma vitabu, tafuta materials kwenye website husika, tembelea ofisi husika na uliza maswali, na mwisho wasiku utapata picha halisi ya kile unachotaka kukijua. Lakini hapa watakuja watu watakuambia mambo mawili matatu lakini kutokana na changamoto ya kwamba kuna watu wengine watakuja na kubeza bila kuwa na uelewa wa kutosha, utajikuta wewe unayumba.

Ningependa kuweka baadhi ya mambo sawa kulingana na nilivyoona comments nyingi humu.

1. Investment sio kitu sawa na biashara

2. Mifuko mingi ya UTT ina kua kwa compound interest rate >12% ambayo ni kubwa kuliko inflation rate ambayo ni kama 4%

3. Watu wengi wana mindset ya kufanya kazi/biashara na kupata income, wanaona kama investment na kutegemea the power of compound interest na kupata passive income ni uzembe.

4. Pesa unayotoa kwenye mfuko wako wa UTT haikatwi kodi, ila kwa baadhi ya mifuko wanakukata 1% as an exit load.

5. Watu wengi hawafikirii long term combined with the power of compound interest. Mfano vipande vya umoja fund mwaka 2005 vilikua TZS 100/kipande wakati saivi kipande ni kama 850 TZS/kipande. Sasa ni miaka 17 imepita. Fikiria mtu angekua amemuwekea TZS 3M (mwaka 2005) mwanae mdogo kwa ajili ya elimu ya juu. Mtoto anafika umri wa kwenda elimu ya juu leo(2022) angekua na kama TZS 24M, ambayo inatosha kumsomesha bila shida. Na bado sioni kama 24M ya leo ni sawa na 3M ya 2005, labda mimi sielewi inflation inavyofanya kazi, nileweshwe.

6. In a short term (one year, two years, few months) thamani ya vipande inaweza kuonekana imeshuka but in a long term, the graph is almost certainly going up!!
View attachment 2365037
Ahsante sana. Ila hiyo document kwangu haifunguki msaada tafadhali
 
UTT kuna compound interest. Ukiwekeza 200m inaweza kufika 400m baada y miaka 5 au 6. Jambo jingine si Kila mtu anaweza kufanya biashara ndio maana ya kuwekeza kwenye bonds au mutual funds kama UTT
compound interest ni nini? mfano nimeweka 10 million kwenye mfuko wa ukwasi,hiyo compound interest naipataje au naionaje?
 
Compound interest: mfano capital ni 10million na interest ni 14% kwa mwaka umeweka bond Fund au liquid Fund utapata 140,000/= mwaka wa kwanza kwa hiyo capital plus interest itakuwa 11,400,000/=
Mwaka wa pili capital yako itakuwa 11,400,000/= interest 14% ......... endelea ku calculate hapo
Mwaka wa tatu nakuendelea.
 
Ooh nimekuelewa,Kwahiyo compound interest kwa lugha rahisi ni Interest on interest,sasa mimi nikijua interest unapata kulingana na idadi ya vipande uko navyo,je huo mwaka wa pili utapataje compound interest ikiwa idadi ya vipande hujaongeza?
 
Hata usipoongeza vipande, interest inakuwa calculated on accumulated interest over time as well as on your original principal yaani original investment plus the income earned from investment ( can grow together/ zinakuwa pamoja). Jambo la muhimu wekeza then forget na uendelee na michakato mingine.
 
UTT...nili nunua hisa nikiwa Form Six. Nika poteza cheti. Nilipo maliza chuo, nili fuatilia ili nijue Hisa zangu, niongeze hisa na niweze kuomba cheti kipya. Ila sikuweza kusaidiwa.
Nimepoteza Hisa zangu.
 
Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja.

Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi million 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa kupitia malipo haya ya kila mwezi.

Msaada wapambanaji
Weka namba yako ya M-PESA tukuchangie
 
Bro I don't know if am sure what am going to talk but correct me if am wrong.

Bond umenunua ya miaka 25/30 umeipa serikali ama USA government bond kitu Kama Bilioni kumi hela za kwetu,najua watakuwa wanakupa riba Ile semi/quarterly annually.
Sasa swali langu Ina Mana hii value ya 10bn ya Sasa hivi Ni sawa na watakayokuja kukurudishia even after 5/10years?
Do you get me
Kwanini uhesabie thamani na bilioni 10 pekee na huesabii coupon rate unayopewa kila mwaka kwa 25 yrs?

Kwa case ya Tz;

Unatoa 10bn sometimes at a discount.

Coupon rate ni 12.56% kwa mwaka. Unalipwa kwa miaka 25.

Baada ya miaka 25 unarudishiwa 10bn yako wakati hapo kati umekula zaidi ya 31.4bn ya interest payements.

Yani 10bn yako baada ya miaka 25 unakuwa umeshapata zaidi ya 41.4bn.

Kama ulinunua kwa discount unaongeza capital gain.

Ni taahira pekee anaesema bond zinashuka thamani.
 
Tuulize tulionunua hisa za Voda kila ukiweka sokoni haziuziki. Na wakati UTT ukitaka pesa zako ni ndani ya 5-10 work days unapokea mzigo wako.

Ukinunua hisa unakua na wewe ni sehemu ya umiliki wa kampuni husika na ndio maana unaalikwa kwenye annual meetings kwa hiyo kupanda na kushuka kwa thamani ya hisa lazima uhusike kwa sababu na wewe ni mmiliki lakini vipande vya UTT ni tifauti kwa kwa sababu uwekezaji unafanywa kwenye makampuni yanayofanya vizuri sokoni na pesa yenyewe inagawanywa sehemu tofauti tofauti.

Kwangu naona bora nikawekeze UTT kuliko hisa
Mlinunua kisiasa.

Zile hisa zilikuwa overvalued na isitoshe, telecom sector ni oligopoly. Easy to be manipulated
 
Back
Top Bottom