Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
😳😳 Mchungaji huyo wa kanisa nchini S.Africa kwa jina la Jeslynn ameibuka kuwashauri wanawake walio kwenye ndoa lakini tofauti na matarajio yake amepingwa kwa karibia asilimia 95% na wanawake wenyewe kwa ujumbe alioutoa
Mchungaji huyo amejitosa katika group la Facebook la Wanigeria na kutoa ushauri usemao....
"Wanawake mlio katika ndoa msapoti mumeo na kusimama upande wake muda wote haijalishi unapitia nini, kama amekosea au yupo sahihi simama na mumeo, kama ni mtumiaji vilevi au sio mtumiaji simama na mumeo haijishi, kimsingi mumeo ndie kichwa chako kibibilia na ndie kichwa cha familia usikimbie ukamuacha"
Baada ya ujumbe wake huo hata hivyo wanawake asilimia kubwa walionekana kutibuka vilivyo na kumpinga mchungaji huyo mwanzo mwisho. Mtoa maoni mmoja alimjibu kwa kuandika yafuatayo...
"Sisemi kuwa wake wa ndoa wasisimame upande wa waume zao lakini mwanaume pia asitumie kuendekeza vioja au matukio yake kutaka kumuua mke, mke wa ndoa pia ni binadamu, tusiendelee kuzidi kuwatweza presha wanawake kwa njia hii tayari wanawake wamebebeshwa presha kila sehemu" Mwanamke mwingine ambaye alishaingia katika ndoa ametoa maoni kwa kusema...
"Sielewi kwanini baadhi ya watu wa jinsi(gender) yetu kabisa wanataka kutufanya tuonekane kama hatuna akili, sawa, ila siwezi fuata falsafa yako na ndio maana kwasasa nachagua mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano kwasababu kuingia tena katika ndoa sio kitu cha utani na sipo tayari kupitia tena niliyopitia katika ndoa ya kwanza"
Mwingine akasema "Kwa mafundisho hayo acha manyanyaso na ukatili ndani ya ndoa viendelee"