Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 925
- 1,202
wanakanyaga waya wenyewe, wakila shoti wanaanza ooh wanajeshi wabaya,Zezeta Mama yako Mzazi.
Very painful mwenyezi Mungu amakua mwema kwenu.Oya yani nilivyopa taarifa nimeshtuka sana, coz mzee wangu ana maduka huko na mdogo wangu na binamu zangu wako madukani wanasimamia...
Mzee nimempigia alikuwa hapo asubuhi. Haya maisha tumche Mungu kila wakati hakuna anayejua saa wala wakati
Wote wako salama ila kuna majamaa zangu wa huko nyumbani bado tusubiro uokoaji.
umekanyaga waya mwenyewe acha kulalamikaKwel nimeamini we ni kichaa nlikuwa naona kama unasingiziwa
True dat bro, true datVery painful mwenyezi Mungu amakua mwema kwenu.
Maanake hatujui hata nukta mbele yetu
Tumtangulize MUNGU kwa kila jambo
Sio lazima mmeshaanza kumpangia cha kufanyaJamaa ametoka utazania anazaliwa..akatoe shukrani kwa wasio jiweza.
Hapo polisi wanahusika vip unajua kazi ya polisi na je unajua kazi ya jeshi la zima moto au jeshi la uwokoaji? Umekalili vibayaPolisi baada ya kujitosa kwenye vifusi naona wanazuia watu wasikaribie jengo, hivi hawa polisi zaidi ya kuzuia maandamano kuna jambo lingine wanaloweza kweli? Mishahara wanayolipwa ni ya kazi gani kama majukum ya wanafanya raia wa kawaida wakati wao ndiyo kazi yao na vifaa wanavyo?
F..v..ck
Jambo hili nilieleza Sana wakati ule ilipotokea ajali ya ndege kule Bukoba na wakati ule ilipotokea ajali ya kuporomoka Mlima kule Hanang mkoani Manyara. Lakini inavyoonekana watawala wa nchi bado hawajifunzi kitu kutokana na ajali hizo. Tumekuwa kama 'sikio la kufa' ambalo halisikii dawa.Pesa za kununua vifaa vya kisasa vya uokoaji na kugharamia mafunzo ya kitaalamu kwa viwango vya kimataifa kwa watu wauokoaji hawana ila wanapesa za kununua magari yenye matenki ya maji ya washawasha na bunduki ili kupambana na raia na kukandamiza haki zao .
Tunarudi kule kule
Priorities
Alafu wakinywa hela za fire extinguisher wananuna hatari..Hii kazi ya uokoaji ilitakiwa ifanywe na zimamoto wakishirikiana na polisi.Lakini cha ajabu kazi hiyo inafanywa na wananchi wa kawaida tu iiiih bagosha !!!
Polisi ndio kazi yao, Uokoaji ni zimamotoPolisi badala ya kujitosa kwenye vifusi naona wanazuia watu wasikaribie jengo, hivi hawa polisi zaidi ya kuzuia maandamano kuna jambo lingine wanaloweza kweli? Mishahara wanayolipwa ni ya kazi gani kama majukumu yao wanafanya raia wa kawaida wakati wao ndiyo kazi yao na vifaa wanavyo?
F..v..ck