"nchi imefunguka, Watu wapo huru kama enzi zileee, mama apewe mitano tena.."
Sio kwamba naleta utani na siasa kwenye janga kubwa kama hili, la hasha...najaribu kuonyesha uchungu baada ya kujilidhisha pasipo Shaka kwamba system ni mbovu kuanzia huko juu! Jamani hadi huku vijijini ni business as usually! Kuanzia ofisi ya mtendaji, zahanati, mahakamani, polisi, shule ya msingi, kila MTU anafanya anavyojisikia!
Na bado, hayo ni matone Tu subiri mvua yenyewe!
Kama kuna mtu aliyekaribu na Rais amwambie ukweli nchi inakkoelekea siyo!