Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Hili ghorofa ni la zamani,halikujengwa miaka ya karibuni.Pia ni kosa kwa mwenye ghorofa na walioweka store kwenye juu ya hili ghorofa,kila kitu kinatengenezwa kwa uwezo wa kuhimili mzigo,kama gari la tani 2,ubebe mzigo wa tani 10,litauvunjika.Hata barabara zinajengwa kwa uwezo wa kupitisha gari zenye mzigo wa uwezo wa barabara.Tumia akili,kosa ni hao wanaoweka store kwenye nyumba za ghorofa juu,badala ya kukaa watu.
 
"nchi imefunguka, Watu wapo huru kama enzi zileee, mama apewe mitano tena.."

Sio kwamba naleta utani na siasa kwenye janga kubwa kama hili, la hasha...najaribu kuonyesha uchungu baada ya kujilidhisha pasipo Shaka kwamba system ni mbovu kuanzia huko juu! Jamani hadi huku vijijini ni business as usually! Kuanzia ofisi ya mtendaji, zahanati, mahakamani, polisi, shule ya msingi, kila MTU anafanya anavyojisikia!

Na bado, hayo ni matone Tu subiri mvua yenyewe!
Kama kuna mtu aliyekaribu na Rais amwambie ukweli nchi inakkoelekea siyo!
Mkuu,anachopenda kusikia ni anaupiga mwingi na mitano au kumi tena
 
Wanaweza kupoteza maisha yao au wanaowaokoa kwa sababu hapo unahitajika weledi wa uokozi, kumbuka MV Bukoba 1996 ilizama kwa sababu watu wasio na weledi waliitoboa ili kuokoa watu kumbe lile ombwe lilikuwa ndio linasaidia kutomalizikia kuzaa, mamia wakafa
Yeah. Hapo uliposema "weledi wa uokozi" ndiyo jambo la msingi sana.
Mtu hajakatazwa au kuzuiliwa kusaidia kutoa msaada wa kuokoa. Lakini huyo mtu anayetoa msaada wa uokozi kwamba yeye kwanza kama Mwokozi atakuwa Salama na yule Anayeokolewa pia atakuwa salama. Lengo litafanikiwa. Isiwe tu ni kazi ya kupangua matofali na kukata nondo kumbe kwa kufanya hivyo unasababisha mzigo mkubwa ushuke juu ya waathirika na kuwaponda, unaziba matundu yanayopitisha hewa kwa waathirika ndani ya kifusi au unagusa vitu vinavyoweza kusababisha moto kutokea n.k.
 
Hawa huwa wapo tayari kufanya usafi sambamba na siku ya maandamano ya chadema

Wana magari makubwa yanatembea barabara nzima. Hii ya emergence, tunasubira nini? Pengine hakuna planners ili kuweza kufanya kwa uhakika na kwa haraka Zipo machine ambazo zingeweza kuwa na msaada kama zitatumika vizuri.
Kutoa kifusi kwa mikono ni mambo ya ujima na ni aibu kubwa.
 
Hili ghorofa ni la zamani,halikujengwa miaka ya karibuni.Pia ni kosa kwa mwenye ghorofa na walioweka store kwenye juu ya hili ghorofa,kila kitu kinatengenezwa kwa uwezo wa kuhimili mzigo,kama gari la tani 2,ubebe mzigo wa tani 10,litauvunjika.Hata barabara zinajengwa kwa uwezo wa kupitisha gari zenye mzigo wa uwezo wa barabara.Tumia akili,kosa ni hao wanaoweka store kwenye nyumba za ghorofa juu,badala ya kukaa watu.

Nani anayezuia matumizi ya majengo chakavu? Kulikuwa na stop oder yoyote kuhusu matumizi?
 
Wana magari makubwa yanatembea barabara nzima. Hii ya emergence, tunasubira nini? Pengine hakuna planners ili kuweza kufanya kwa uhakika na kwa haraka Zipo machine ambazo zingeweza kuwa na msaada kama zitatumika vizuri.
Kutoa kifusi kwa mikono ni mambo ya ujima na ni aibu kubwa.
Sawa lakini sio aibu ni uwajibikaji na kuonesha tunawajali ndg. zetu waliofukiwa na kifusi halafu usisahau hicho ndo kinachowezekana kwa sasa "Under field conditions" wakati tunasubiria msaada zaidi.
 
Ona taarifa ya Wizara ya uchukuzi: crane ndogo tu ya kunyanyua mizigo kwenye meli ina miaka zaidi ya 2 halifanyi kazi na bado wanasema uongo, vipi kuhusu vifaa vya uokozi?
1731343220099.jpg
 
Kihistoria (Uislamu)

1. Mimar Sinan (1490–1588)

Mhandisi na msanifu maarufu wa Dola ya Ottoman.

Alijenga majengo makubwa, kama Msikiti wa Suleymaniye na Msikiti wa Selimiye nchini Uturuki.

2. Ahmad Lahori

Msanifu mkuu wa Taj Mahal, India.

Alifanya kazi chini ya mfalme Shah Jahan wa Dola ya Mughal.

3. Zaha Hadid (1950–2016)

Msanifu wa Kiislamu wa Iraq na Uingereza maarufu kwa majengo ya kisasa.

Mifano: Guangzhou Opera House (China), Sheikh Zayed Bridge (Abu Dhabi).

---

Wa Kati ya Kisasa na Sasa

1. Adrian Smith

Msanifu mkuu wa Burj Khalifa, Dubai (jengo refu zaidi duniani).

Pia alihusika na ujenzi wa Jeddah Tower (Saudi Arabia, jengo linalotarajiwa kuwa refu zaidi duniani).

2. Fazlur Rahman Khan (1929–1982)

Mhandisi wa Kiislamu mwenye asili ya Bangladesh.

Aliunda teknolojia ya muundo wa "tube" iliyotumika kwenye Willis Tower na John Hancock Center (Marekani).

3. Norman Foster

Msanifu mkuu wa The Gherkin (London) na Apple Park (California).

4. Santiago Calatrava

Anajulikana kwa majengo makubwa yenye miundo ya ubunifu, kama The Oculus (New York).

---
 
Back
Top Bottom