physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Hili ghorofa ni la zamani,halikujengwa miaka ya karibuni.Pia ni kosa kwa mwenye ghorofa na walioweka store kwenye juu ya hili ghorofa,kila kitu kinatengenezwa kwa uwezo wa kuhimili mzigo,kama gari la tani 2,ubebe mzigo wa tani 10,litauvunjika.Hata barabara zinajengwa kwa uwezo wa kupitisha gari zenye mzigo wa uwezo wa barabara.Tumia akili,kosa ni hao wanaoweka store kwenye nyumba za ghorofa juu,badala ya kukaa watu.Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Mkuu,anachopenda kusikia ni anaupiga mwingi na mitano au kumi tena"nchi imefunguka, Watu wapo huru kama enzi zileee, mama apewe mitano tena.."
Sio kwamba naleta utani na siasa kwenye janga kubwa kama hili, la hasha...najaribu kuonyesha uchungu baada ya kujilidhisha pasipo Shaka kwamba system ni mbovu kuanzia huko juu! Jamani hadi huku vijijini ni business as usually! Kuanzia ofisi ya mtendaji, zahanati, mahakamani, polisi, shule ya msingi, kila MTU anafanya anavyojisikia!
Na bado, hayo ni matone Tu subiri mvua yenyewe!
Kama kuna mtu aliyekaribu na Rais amwambie ukweli nchi inakkoelekea siyo!
Wewe ni mjukuu wa Baltazari?Umepimwa na nani? Hao uliowataja walikufanyia ubaya gani?
nisamehe mrembo.basi usigombane na bibi yetu asije akakumwagia raziHao wazee una vyeti vyao vya kuzaliwa?
Yeah. Hapo uliposema "weledi wa uokozi" ndiyo jambo la msingi sana.Wanaweza kupoteza maisha yao au wanaowaokoa kwa sababu hapo unahitajika weledi wa uokozi, kumbuka MV Bukoba 1996 ilizama kwa sababu watu wasio na weledi waliitoboa ili kuokoa watu kumbe lile ombwe lilikuwa ndio linasaidia kutomalizikia kuzaa, mamia wakafa
Hawa huwa wapo tayari kufanya usafi sambamba na siku ya maandamano ya chadema
Hili ghorofa ni la zamani,halikujengwa miaka ya karibuni.Pia ni kosa kwa mwenye ghorofa na walioweka store kwenye juu ya hili ghorofa,kila kitu kinatengenezwa kwa uwezo wa kuhimili mzigo,kama gari la tani 2,ubebe mzigo wa tani 10,litauvunjika.Hata barabara zinajengwa kwa uwezo wa kupitisha gari zenye mzigo wa uwezo wa barabara.Tumia akili,kosa ni hao wanaoweka store kwenye nyumba za ghorofa juu,badala ya kukaa watu.
Tofali zenyewe zimemwagika ni mchanga mtupu, magorofa mengi yanapojengwa yanaanza kuwa na nyufa kisha zinazibwa kwa kutumia magunia na simenti!Pengine engineer wenyewe from St University.
Sawa lakini sio aibu ni uwajibikaji na kuonesha tunawajali ndg. zetu waliofukiwa na kifusi halafu usisahau hicho ndo kinachowezekana kwa sasa "Under field conditions" wakati tunasubiria msaada zaidi.Wana magari makubwa yanatembea barabara nzima. Hii ya emergence, tunasubira nini? Pengine hakuna planners ili kuweza kufanya kwa uhakika na kwa haraka Zipo machine ambazo zingeweza kuwa na msaada kama zitatumika vizuri.
Kutoa kifusi kwa mikono ni mambo ya ujima na ni aibu kubwa.
Kwamba bado mnasubiria msaada 5min kutoka hapo fire?Sawa lakini sio aibu ni uwajibikaji na kuonesha tunawajali ndg. zetu waliofukiwa na kifusi halafu usisahau hicho ndo kinachowezekana kwa sasa "Under field conditions" wakati tunasubiria msaada zaidi.
Ambyulensi mbili, Wapalestina wanazo nyingi sana huenda mara sita ya tulizonazo!Ambulance kwenye misafara ya viongozi, ila kwenye majanga kama haya hazina mafuta!!
Mitaala ya vyuo vya ufundi ziangaliwe upyaTofali zenyewe zimemwagika ni mchanga mtupu, magorofa mengi yanapojengwa yanaanza kuwa na nyufa kisha zinazibwa kwa kutumia magunia na simenti!
Makonda anawaburuza sana kama mademu zakeHawa huwa wapo tayari kufanya usafi sambamba na siku ya maandamano ya chadema
Ndio akili za wafia dini wa jf. Halafu unampa jengo mtu kama huyu asimamie akiona fundi mtaalam kavaa kibaraghashia anamfukuza anaweka mvaa + , halafu jengo linajengwa kiwango cha chiniAmbyulensi mbili, Wapalestina wanazo nyingi sana huenda mara sita ya tulizonazo!
Mzee kwani nchi ipo chini ya + ?Ndio akili za wafia dini wa jf. Halafu unampa jengo mtu kama huyu asimamie akiona fundi mtaalam kavaa kibaraghashia anamfukuza anaweka mvaa + , halafu jengo linajengwa kiwango cha chini