Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Cheap labour,ghorofa linadondokaje kwanza? Hapo usishangae kajenga mchina.
Alafu bado ukishangaa hili kuna juzi mtu kaweka post kuna mall kubwa inajengwa kuliko mlimani city.
Sawa,kuinua nguzo juu wameweka miti badala ya zege la nondo linaloeleweka
 
Nondo fake zimeanza kuonyesha matokeo ujenzi na vifaa vyake haviitaji mchezo
Ni mapema mno kuhukumu au kuhitimisha ni matumizi ya vifaa feki. Umejuaje? au ww ni mmojawapo wa wale wajenzi ila leo hukuingia mazigoni ikawa bahati yako?
 
Mbona greda tu imechukua muda kufika.Je kwenye eneo active la ajali ni sahihi kuacha watu waendelee kuzagaa? Hata tamko la kufunga mtaa nila kusubiri.
 
Unasuburi masaa 5 watu wana suffocate kwenye vifusi, huu utaalam au uzembe🚮
 
Ndio maana Chalamila amehimiza utulivu na uokoaji kwa kutumia wataalamu...sisi wengine tunajipeleka kutafuta clips kwa ajili ya likes za Instagram
Nanukuu:
"....sisi wengine tunajipeleka kutafuta clips kwa ajili ya likes za Instagram"
Hilo 👆 👆 ni ishara wazi bayana kwamba Wabongo wengi hatuna kazi ila ni watu wa matukio. Utakuta mtu atashinda hapo ni kelele tu mara hili mara hichi na jioni atapeleka kijiweni na baadaye ni kwa shemeji au .......n.k. Siku imeisha. Disguised unemployment.
 
Kwani kila mwarabu ni muislamu? Kuna waarabu makafiri wakubwa kuliko wewe, wanawachukia waislam zaidi yako
 
Mbona greda tu imechukua muda kufika.Je kwenye eneo active la ajali ni sahihi kuacha watu waendelee kuzagaa? Hata tamko la kufunga mtaa nila kusubiri.
Kuchelewa kutoa "Tamko la kufunga mtaa" kunaweza kweli ikawa ni Uzembe lakini pia Tamko lazima lipate idhini na Uwezeshaji. Mtaa haufungwi kama tunavyofunga gheto,nyumba, Bar au Kilabu ya taptap. Inatakiwa Polisi/walinzi wawepo hapo Kuhakikisha Utekelezaji sawasawa. Vinginevyo utakuwa umeukabidhi mtaa kwa vibaka.
Greda kuchukua muda kufika ni sahihi kabisa kwani huwezi kujua kama bado jengo linaendelea kuporomoka. Greda likiwepo hapo watu fyatu au hata walio timamu wanaweza kushinikiza greda lianze kazi halafu Mjengo ukashuka juu yake na wote greda +waathirika wakawa ni wahanga.
 
Ujenzi holela usiozingatia taratibu za ujenzi .
Ukarabati unafanyika bila kuwa na ushauri wa kitaalamu .

Ukraine magorofa yanalipuliwa na Mabomu au makombora lakini gorofa halianguki na madhara yanakuwa madogo .
 
Well said. Chalamila na Mliro walikuwepo na tosha kutoa tamko.
 
Unasuburi masaa 5 watu wana suffocate kwenye vifusi, huu utaalam au uzembe🚮
Tusubiri Wataalam waseme. Au wewe ni mtaalam? Mtu anasuffocate vipi kwenye kifusi?? Kwenye maji ni sawa mtu atasuffocate lakini sio kwenye kifusi.
Hujawahi kusikia watu wameokolewa wazima kutoka kwenye vifusi huko migodini au wanakochimba mchanga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…