Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Nyie
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane hamnazo! Hoja inahusu kitu kingine we na bibi Faiza mnaleta mambo ya Uislam. Kwani thread ya kujadili wahandisi wa kiislam hii?
 
HAPANA kumbe ndio maana hata magereza kuna watu wengi wamefungwa bila hatia maana assume wewe ndio hakimu sasa si unaemda kumfynga fundi wawatu bila deep reasoning!

Nikujibu kwa mfano: umenunua gari toyota hilux imeandikwa max Wight 3 Tons wewe umeipakia mzigo 4Tons , sasa spring zimekatika ,je? utawalaumu toyota kwa kuuzia gari mbovu?

Ujenzi hasa wa maghorofa huwa unazingatia pia kiwango cha mwisho cha uzani hasa kwa floor za juu, sasa mtumiaji asipo zingatia( na huwa haizingatiwi) yakatokea madhara ndipo shida huanzia

Uangalie ubora kama ulizingatiwa na kama ulizingatiwa basi swala lianze kwanini mzigo ulizidishwa juu
 
Tusubiri Wataalam waseme. Au wewe ni mtaalam? Mtu anasuffocate vipi kwenye kifusi?? Kwenye maji ni sawa mtu atasuffocate lakini sio kwenye kifusi.
Hujawahi kusikia watu wameokolewa wazima kutoka kwenye vifusi huko migodini au wanakochimba mchanga??
Hii ni comment kutoka Nchi ya waliojichokea. Eti kifusi hakifanyi suffocation !!!! Kweli hii bongo.
 
Hii ni comment kutoka Nchi ya waliojichokea. Eti kifusi hakifanyi suffocation !!!! Kweli hii bongo.
Jiongeze mkuu. Mtu akikosa hewa baada ya dakika 3-5 hufa. Je; Tngu kuporomoka kwa jengo na watu kufikwa kwenye kifusi haujapita huo muda??
Kama muda huo umepita ina maana hakuna tena matumaini. Kwa taarifa yako wapo watu waliookolewa baada ya siku 2 huko Mererani, North Mara nk. Hata kule Gaza wapo watu wanaokolewa baada ya muda huo kupita.
 
Hii inaitwa bahati na sibu. Najua unachosema. Tena kuna watu waliokolewa siku zaidi ya hizo, bado hiyo ni kubahatisha. Unatakiwa utuambie kama ukifunikwa na kifusi unakosa hewa au kifusi kinapitisha hewa. Je chini ya kaburi kuna hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…