Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
okMungu hawezi kupangua hizo nondo wala Tofali mpaka hao watu watoke, Nguvu zetu binafsi na uharaka wa kurespond kutoa msaada, Hiyo ndio solution...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okMungu hawezi kupangua hizo nondo wala Tofali mpaka hao watu watoke, Nguvu zetu binafsi na uharaka wa kurespond kutoa msaada, Hiyo ndio solution...
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane hamnazo! Hoja inahusu kitu kingine we na bibi Faiza mnaleta mambo ya Uislam. Kwani thread ya kujadili wahandisi wa kiislam hii?Kihistoria (Uislamu)
1. Mimar Sinan (1490–1588)
Mhandisi na msanifu maarufu wa Dola ya Ottoman.
Alijenga majengo makubwa, kama Msikiti wa Suleymaniye na Msikiti wa Selimiye nchini Uturuki.
2. Ahmad Lahori
Msanifu mkuu wa Taj Mahal, India.
Alifanya kazi chini ya mfalme Shah Jahan wa Dola ya Mughal.
3. Zaha Hadid (1950–2016)
Msanifu wa Kiislamu wa Iraq na Uingereza maarufu kwa majengo ya kisasa.
Mifano: Guangzhou Opera House (China), Sheikh Zayed Bridge (Abu Dhabi).
---
Wa Kati ya Kisasa na Sasa
1. Adrian Smith
Msanifu mkuu wa Burj Khalifa, Dubai (jengo refu zaidi duniani).
Pia alihusika na ujenzi wa Jeddah Tower (Saudi Arabia, jengo linalotarajiwa kuwa refu zaidi duniani).
2. Fazlur Rahman Khan (1929–1982)
Mhandisi wa Kiislamu mwenye asili ya Bangladesh.
Aliunda teknolojia ya muundo wa "tube" iliyotumika kwenye Willis Tower na John Hancock Center (Marekani).
3. Norman Foster
Msanifu mkuu wa The Gherkin (London) na Apple Park (California).
4. Santiago Calatrava
Anajulikana kwa majengo makubwa yenye miundo ya ubunifu, kama The Oculus (New York).
---
HAPANA kumbe ndio maana hata magereza kuna watu wengi wamefungwa bila hatia maana assume wewe ndio hakimu sasa si unaemda kumfynga fundi wawatu bila deep reasoning!Kama ni mzigo lazima fundi sana sana mtaalam, ahusike. Uimara na ukubwa wa vifaa lazima uzingatie idadi ya watumiaji. Mfano. huwezi kujenga chumba cha kuhudumia watu 50 ukajengea nondo mm ndogo kuokoa gharama za ujenzi. Au ratio ya mfuko mmoja mchanga 4 wewe unaweka 7 kuokoa gharama pia,, hapo unajenga kaburi sio jengo.
Si yupo aggrey yule? Halafu nasikia analalaga dukani..reyzzap 😪😪😪 upumzike salama, kariakoo imepoteza winga machachari, angalau na sisi tupumue,
Ulikua unakabia juu sana.
Hii ni comment kutoka Nchi ya waliojichokea. Eti kifusi hakifanyi suffocation !!!! Kweli hii bongo.Tusubiri Wataalam waseme. Au wewe ni mtaalam? Mtu anasuffocate vipi kwenye kifusi?? Kwenye maji ni sawa mtu atasuffocate lakini sio kwenye kifusi.
Hujawahi kusikia watu wameokolewa wazima kutoka kwenye vifusi huko migodini au wanakochimba mchanga??
Jiongeze mkuu. Mtu akikosa hewa baada ya dakika 3-5 hufa. Je; Tngu kuporomoka kwa jengo na watu kufikwa kwenye kifusi haujapita huo muda??Hii ni comment kutoka Nchi ya waliojichokea. Eti kifusi hakifanyi suffocation !!!! Kweli hii bongo.
Hakuombwa afanye hivyo 😀 ila sasa ndo watu wanamwomba awanusuri waathirika.Huyo Mungu kwanini hakuzuia ghorofa lisianguke
Pia kumbuka hakumuokoa mwanae na kifo cha Msalaba.Huyo Mungu kwanini hakuzuia ghorofa lisianguke
WatatimuliwaWataalam wakifika hapo hao wote wanafukuzwa, kwamba hawana utaalam wowote wa uokozi, wataambiwa asanteni mkapumzike sasa.
Keep watching and keep this reply for reference!.
Watapewa pongezi waoNaunga mkono hoja. Halafu zimamoto iundwe upya hawana uwajibikaji.
Yeye sio zimamoto na hana utaalamu wowote wa kufukua vifusi kwa hio pongezi zote kwa Mama Samia na Jeshi la Uokoaji na ZimamotoUngeanza ww!!
All the best