OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
Na hapo hakuna tetemeko lililopita. Subiri siku tetemeko litokee
Wee hii ni kweli? Jesus help us""Taarifa iliyonifikia muda huu, kuna jengo linaungua moto katika mtaa ww Agrey hapo Kariaklo
Mlioko Kariakoo muda huu mtupatirle updates""""
Msanii said
Thanks kwa updates.Onho
Nafikiri ni vile hajui grader ni ya nini, ni kama vile watu wamezoea kuziita vijiko, wengine huita catapiler wasijue iyo ni brand nameInaonekana watu wengi hamzifahamu hizi machine na kazi zake. Grader inaenda kufanya kazi gani hapo?
Huelewi kuwa kufa kufaana?AUnachokifanya nisawa na kutafta umarufu msibani.
reyzzap 😪😪😪 upumzike salama, kariakoo imepoteza winga machachari, angalau na sisi tupumue,
Ulikua unakabia juu sana.
Si yupo aggrey yule? Halafu nasikia analalaga dukani..
Kama alikua hapo Kwa urefu ule itakua ndio wa kwanza tofari kumuangukia..
Jamaa kaondoka na ndoto zake..
Acheni uchawi kuku nyie, Akili zenu ni sawa na hao wabomoa nguzo...View attachment 3153973
Daaa, jamaa👆 umetutoka mapema sana,
Nmewaza hivyo pia maana mwenyewe napitaga sana humo chini, haya majengo itabidi yafanyiwe ukaguzi wa kutosha na litakalobainika lipo chini ya viwango libomolewe ila rushwa haitoruhusu hayo yafanyike.Yani mkuu nikiwaza japo mara chache sana napita kule kwenye basement mana mimi sio muumini sana wa kuingia madukani ila nmewaza tu kitu kinashuka mko basement aisee!!! Mungu tuepushe na tunavyojazamaga vile
Hamna wa kuchunguza hapa tuishi tu kama digi digiNmewaza hivyo pia maana mwenyewe napitaga sana humo chini, haya majengo itabidi yafanyiwe ukaguzi wa kutosha na litakalobainika lipo chini ya viwango libomolewe ila rushwa haitoruhusu hayo yafanyike.
Dah hatari sana watu wanajali maslahi yao tu bila kujali uhai wa watu wengine, kwa takwimu za uokoaji hadi jana usiku, watu waliookolewa naona ni wachache sana kulingana na wingi wa watu wanaokuwa ndani ya majengo. Sijui kwa sasa hali ya uokoaji inaendeleaje.Hamna wa kuchunguza hapa tuishi tu kama digi digi
Inaogopesha sana na sielewi waliofunikwa na kifusi Mungu kawaisaidia kwa namna gani mana ukiwa open space si umekwisha
Fundi ana ambiwa abomoe na yeye ana fanya kweli utakuta na wenyewe wamefukiwa huko chiniTaarifa ni kwamba mwenye jengo aliona kuta zinazuia kuongeza wateja wale wanaotandaza chini hivyo aliagiza wabomoe kuta ili iwe km godauni chini wkt hizo kuta ndio zimeshikilia jengo ndio sababu njengo kushuka. chanzo mwananchi
Mfano ajali zikitokea barabarani daily utazungumza namna hii vile vile,Ni hatari sana.
Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na ubora wa bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.
Fundi Maiko anachojali hela tu hayo mengine hayamuhusu...Fundi ana ambiwa abomoe na yeye ana fanya kweli utakuta na wenyewe wamefukiwa huko chini
Hii vipi""Taarifa iliyonifikia muda huu, kuna jengo linaungua moto katika mtaa ww Agrey hapo Kariaklo
Mlioko Kariakoo muda huu mtupatirle updates""""
Msanii said
Mungu gani mwema Kashindwa kuzuia jengo hilo lisianguke?Kila wakati Mungu ni mwema...
Aisee huu utani gani wanakuletea kwenye issue serious hivi, ilitushtua sana, glad umereply mkuu.Acheni uchawi kuku nyie, Akili zenu ni sawa na hao wabomoa nguzo...
Yaani unatoboa Meli ngo! ngo! ngo! eti "ngoja tuizamishe" halafu na wewe upo ndani.
Mkuu hii nimeona kule Msanii kaweka uzi kuwa agrey kuna jengo linaungua etHii vipi
Sijauona huo uzi, mbona majanga kila konaMkuu hii nimeona kule Msanii kaweka uzi kuwa agrey kuna jengo linaungua et