OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
Poleni ndugu jamaa na marafiki Kwa ajali ya kudondoka ghorofa hapo Kariakoo . Ninashauri wizara ya ujenzi itoe maagizo Kwa kila mji hapa nchini ya kufanya ukaguzi wa majengo yote ya zamani na kufanya tathimini ili kuwa na uhakika wa kukaa mahali pa usalama.