R.I.P lady 🤭Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.
Pole yake na Kwa wafiwa.Wakati wengine wanapmboleza Kuna wengine huko Mexico 👇👇Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.
Serikali isiyojali uhai ws wstu wske haijali kujiandaa na msaada wa majanga na maafaMwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.
Siku ya TISA, jengo la floor nne!!Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.