Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
R.I.P lady 🤭Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.