Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.
R.I.P lady 🤭
 
Pole yake na Kwa wafiwa.Wakati wengine wanapmboleza Kuna wengine huko Mexico 👇👇

View: https://x.com/bbcswahili/status/1860707495569723759?t=HTllo7_6LliU8CxDUVIwZQ&s=19

My Take
Kifo kinakumbusha kwamba hupaswi kufurahia mapovu yeyote Kwa binadamu kuanzia ushabiki wa vita Hadi upuuzi wa Kisiasa.
 
Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.
Serikali isiyojali uhai ws wstu wske haijali kujiandaa na msaada wa majanga na maafa
 
Serikali umeonesha uzembe mkubwa sana.yaani uokoaji unachukua zaidi ya siku kumi.je ingekuwa sunamii si tungeuawa wakazi wote wa dar na kusiokolewa hata mmoja.jengo la ghorofa nne lilifaa uokoaji ufanyoke siku Moja tu.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Hivi hawa wenzetu huwa walijua kama watakufa?
Walijua hawataiona December?
Walijua hawatafika 2025?
Walijua pesa zao zote ghafla wataziacha?
Hawakujua.
 
Mwili wa Brigita ambaye ni mdogo wa Marehemu Neema ambaye alikuwa miongoni mwa waliokuwa hawajulikani walipo baada ya ajali ya jengo kuporomoka Kariakoo umepatikana leo wakati zoezi la uondoaji vifusi likifanyika.
View attachment 3160553
Kwa mujibu wa Izrael Mahenge, ambaye ni msemaji wa familia amesema maandalizi kwa ajili ya mazishi yanaendelea kwenye familia bado hakijajulikana kama atazikwa Dar es Salaam au watasafirisha.
Siku ya TISA, jengo la floor nne!!
 
Hao walipuuzia (negligence) kwa sababu binafsi za kiuchumi hawawezi kuwa na amani. Hukumu huanzia hapahapa duniani.
 
1732476531922.jpg
 
Back
Top Bottom