Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Nipo salama kaka! Sema Ile hatar mi wakati napita nimeona kama limeporomoka upande Moja hivi
Ajali bana!!

Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.

Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.

Kifo ni fumbo!!
 
Uzito usiku haukuwepo
 
Hao raia wengine waliopanda magorofa jirani nao wanakosea wanaelemea majengo upande mmoja na mengi pale yamechoka na ujenzi materials ukute ndio kama hilo lililoporomoka.

Hilo jengo nimenunua bidhaa chache last weekend. Uokoaji Kariakoo huchelewa sababu ya foleni, kuna jengo liliungua mitaa ya Congo gari la zimamoto lilikaa foleni zaidi ya nusu saa huku wakiwa kwenye visibility ya moto. Raia na madereva wamezoea kuweka foleni hawashtuki haraka kupisha.
 
Wingi wa watu ambao hawapo kwenye kikosi cha uokozi na foleni ndio chanzo cha wingi na ukubwa wa madhara.
 
Back
Top Bottom