Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajali bana!!Nipo salama kaka! Sema Ile hatar mi wakati napita nimeona kama limeporomoka upande Moja hivi
Nipo mkuu ndo naelekea sahiz. Hapo kwa tommy touch ni kongo na mchikichi na inajazaga watu hiyo kona hapoDuh hatari Kalaga Baho Nongwa upo salama mkuu? Mpaji Mungu ?
Pale hakuna jengo linalojengwaLilikuwa linaendelea na ujenzi au lilishaisha?
Uzito usiku haukuwepoAjali bana!!
Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.
Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.
Kifo ni fumbo!!
Pale kwa tommy touch kuna watu sio poaLakitambo...hadi linaporomoka watu walikuwa washajaa.
Shehe unasemaje!!!!!!!Safi Sana
kazi iendelee
Huwa wengine wanapandishia juu ya nyumba ya kawaida, nyumba ya kawaida inabadilishwa kuwa ghorofa
Wataamu wa ubomoaji kuna namna wamezembeaHili ghorofa lilikuwa linabomolewa ndo likaporomoka lote
Hata sio mwisho wa mwaka,hizi imani tuachane nazo!Mwisho wa mwaka majanga ni mengi sana, Mungu ajaalie ndugu zetu watoke salama
Ni la zamani lilikuwa linabomolewa lijengwe jipya...Ni jengo jipya ama la zamani, chanzo ninini labda ?
Duuh marehem ata mind sana Kwa kweliWatu wana okoa kwa kutumia jembe .kuna mmoja wame mkata na jembe apa badala ya kumuokoa wame malizia
Mwisho wa Mwaka una husianaje hapo?Mwisho wa mwaka majanga ni mengi sana, Mungu ajaalie ndugu zetu watoke salam
Wingi wa watu ambao hawapo kwenye kikosi cha uokozi na foleni ndio chanzo cha wingi na ukubwa wa madhara.Hao raia wengine waliopanda magorofa jirani nao wanakosea wanaelemea majengo upande mmoja na mengi pale yamechoka na ujenzi materials ukute ndio kama hilo lililoporomoka.
Hilo jengo nimenunua bidhaa chache last weekend. Uokoaji Kariakoo huchelewa sababu ya foleni, kuna jengo liliungua mitaa ya Congo gari la zimamoto lilikaa foleni zaidi ya nusu saa huku wakiwa kwenye visibility ya moto. Raia na madereva wamezoea kuweka foleni hawashtuki haraka kupisha.