DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwanini mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwehu ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.He he he! Wewe bado ni mwehu tu! Si kwa mitusi hiyo!
E
Nchi ilishajifia kitambo sana....Halafu kwa udhaifu ulioonekana kwenye hili tukio upande wa uokoaji, huyo kichwa maji anaenda nunua magoli badala ya kufanya jambo lenye tija.
Huyu mpuuzi ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.
Jk na genge lako siasa zenu chafu ndo zimetufikisha hapa, Mungu atakuhukumu kwa hili
Lawama huwa haziwaishi hasa nyie wazaramo,aliwezaje kwenda KUPANDA gari badala ya KUPANDA BODA boda ili awai eneo la TUKIO?
Tukisema hakuna uzembe wa serikali tunakosea sana
Chalamira alipo pata taarifa za jengo kudondoka aliwezaje kwenda KUPANDA gari badala ya KUPANDA BODA boda ili awai eneo la TUKIO? Hivi angeambiwa mkewe kapata AJALI angeweza panda gari la kyozi kuwa kumwokoa mkewe?
Alipo FIKA eneo la TUKIO ndo akili ya kuagiza mitambo ya kuokoa watu ndo zilikuja hivi kwa Mfano akiwa na mpango wa kufanya Mapenzi Kinga inakutwa eneo la TUKIO au mwanaume shababi anaenda na Kinga saiti?
Ongezea makosa mengine uliyoyaona pale
SAsa huyo anajali, yeye huku yupo kwenye mavuno tu. Sisi wote ni kama punda wake tu.mkuu wa kaya mwenyewe kasepa usitegemee watoto watakuwa serious.
Amen.Tunamshukuru Mungu Nkamu wetu upo hai
Yaani
Mungu awapumzishe wenzenu mahali pema.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Hii nchi kitu pekee inaweza fanya kwa ufanisi ni wizi na kudhibiti upinzani......
Hakuna jengo la kutumia siku nyingi hivyo kuokoa watu, wengine hawakutakiwa kufariki ukitoa wale wa day 1 walioangukiwa directly na jengo
YesuuuAmen.
Ila wakati tunasafiri kwenda kuzika Tunduma kuna gari ndogo tuliyokuwa nayo kwenye msafara Igurusi ikapata ajali baba mdogo wa marehemu akafariki. Mwili wake ukahifadhiwa pale hospitali ya chimala.. na tukapokea taarifa kuna mfanyabiashara mwenzetu wa kkoo mtoto wake wa miaka 10 amejinyonga chumbani kwake.. 🥹
Ikabidi wengine wabaki mana msiba wameleta jana upo mbalizi.
Kajiinua kweli nkamu, mpaka tunaogopa.Yesuuu
Ila shetani mbaya nyie 😭
Shetani amejiinua sana aisee.
Niliona ile clip ya huyo dada wa Tunduma mwili wake unavyopokewa Tunduma
Tuombe sana
Mungu akutunze Nkamu, Karibu Mbeya.
Shetani ndo anaua watu🙌😄Yesuuu
Ila shetani mbaya nyie 😭
Shetani amejiinua sana aisee.
Niliona ile clip ya huyo dada wa Tunduma mwili wake unavyopokewa Tunduma
Tuombe sana
Mungu akutunze Nkamu, Karibu Mbeya.