Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Hii nchi kitu pekee inaweza fanya kwa ufanisi ni wizi na kudhibiti upinzani......

Hakuna jengo la kutumia siku nyingi hivyo kuokoa watu, wengine hawakutakiwa kufariki ukitoa wale wa day 1 walioangukiwa directly na jengo
 
Halafu kwa udhaifu ulioonekana kwenye hili tukio upande wa uokoaji, huyo kichwa maji anaenda nunua magoli badala ya kufanya jambo lenye tija.

Huyu mpuuzi ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Jk na genge lako siasa zenu chafu ndo zimetufikisha hapa, Mungu atakuhukumu kwa hili
 
Nchi ilishajifia kitambo sana....
 
Tukisema hakuna uzembe wa serikali tunakosea sana

Chalamira alipo pata taarifa za jengo kudondoka aliwezaje kwenda KUPANDA gari badala ya KUPANDA BODA boda ili awai eneo la TUKIO? Hivi angeambiwa mkewe kapata AJALI angeweza panda gari la kyozi kuwa kumwokoa mkewe?

Alipo FIKA eneo la TUKIO ndo akili ya kuagiza mitambo ya kuokoa watu ndo zilikuja hivi kwa Mfano akiwa na mpango wa kufanya Mapenzi Kinga inakutwa eneo la TUKIO au mwanaume shababi anaenda na Kinga saiti?

Ongezea makosa mengine uliyoyaona pale
 
aliwezaje kwenda KUPANDA gari badala ya KUPANDA BODA boda ili awai eneo la TUKIO?
Lawama huwa haziwaishi hasa nyie wazaramo,
Hata lile grader huenda mngesema kwanini Chalamila hakusema Grader litembee lenyewe liwahi badala ya kupandishwa kwenye Lorry!
kwa kifupi wazaramo mna Nongwa!!
 
Tukisema hakuna uzembe wa serikali tunakosea sana

Chalamira alipo pata taarifa za jengo kudondoka aliwezaje kwenda KUPANDA gari badala ya KUPANDA BODA boda ili awai eneo la TUKIO? Hivi angeambiwa mkewe kapata AJALI angeweza panda gari la kyozi kuwa kumwokoa mkewe?

Alipo FIKA eneo la TUKIO ndo akili ya kuagiza mitambo ya kuokoa watu ndo zilikuja hivi kwa Mfano akiwa na mpango wa kufanya Mapenzi Kinga inakutwa eneo la TUKIO au mwanaume shababi anaenda na Kinga saiti?

Ongezea makosa mengine uliyoyaona pale
9bd96161-9d0f-47ff-9c38-fb0d89889760.jpeg
 
Kwa kutumia msemaji wa serekali kutoa taarifa na eneo kuzingirwa na vyombo vya usalama maana yake, mengi hatutayafahamu 😀!
 
Tunamshukuru Mungu Nkamu wetu upo hai
Yaani

Mungu awapumzishe wenzenu mahali pema.
Amen.
Ila wakati tunasafiri kwenda kuzika Tunduma kuna gari ndogo tuliyokuwa nayo kwenye msafara Igurusi ikapata ajali baba mdogo wa marehemu akafariki. Mwili wake ukahifadhiwa pale hospitali ya chimala.. na tukapokea taarifa kuna mfanyabiashara mwenzetu wa kkoo mtoto wake wa miaka 10 amejinyonga chumbani kwake.. 🥹

Ikabidi wengine wabaki mana msiba wameleta jana upo mbalizi.
 
Hii nchi kitu pekee inaweza fanya kwa ufanisi ni wizi na kudhibiti upinzani......

Hakuna jengo la kutumia siku nyingi hivyo kuokoa watu, wengine hawakutakiwa kufariki ukitoa wale wa day 1 walioangukiwa directly na jengo
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Amen.
Ila wakati tunasafiri kwenda kuzika Tunduma kuna gari ndogo tuliyokuwa nayo kwenye msafara Igurusi ikapata ajali baba mdogo wa marehemu akafariki. Mwili wake ukahifadhiwa pale hospitali ya chimala.. na tukapokea taarifa kuna mfanyabiashara mwenzetu wa kkoo mtoto wake wa miaka 10 amejinyonga chumbani kwake.. 🥹

Ikabidi wengine wabaki mana msiba wameleta jana upo mbalizi.
Yesuuu
Ila shetani mbaya nyie 😭
Shetani amejiinua sana aisee.

Niliona ile clip ya huyo dada wa Tunduma mwili wake unavyopokewa Tunduma

Tuombe sana
Mungu akutunze Nkamu, Karibu Mbeya.
 
Kajiinua kweli nkamu, mpaka tunaogopa.

Jana tulikuwa tunduma mvua imetunyoosha Sina hamu..
Tulipita hapo Mbeya jana Usiku saa 6. Tulivyozika tukageuka, ningepita mchana nibebelee matoke na ndosa hapo Uyole nkamu, ila niliomba watu Tunduma wanichumieko ngunyani 😹😹
 
Yesuuu
Ila shetani mbaya nyie 😭
Shetani amejiinua sana aisee.

Niliona ile clip ya huyo dada wa Tunduma mwili wake unavyopokewa Tunduma

Tuombe sana
Mungu akutunze Nkamu, Karibu Mbeya.
Shetani ndo anaua watu🙌😄
 
Back
Top Bottom