Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

Kwani kuna chama kimefurahia tukio hili. Acha kuleta ujinga wako hapa. Walioathirika siyo wana CCM tu. Wewe inawezekana ungekuwa eneo la tukio ungewahoji majeruhi kuhusu uanachama wao. Katika tukio kama hili wenzetu wenye akili zao huachana na ushabiki wa vyama vyao. Wewe jamaa unasaka cheo kwa nguvu sana lah!!!! Njaa mbaya sana.
 
Soma vizuri andiko langu ndugu yangu mtanzania.ndio Maana nimesema kiwa huu ni wakati wa kuungana, kushikamana, kushikamana na kusimama pamoja kama Taifa.siyo muda wa kunyoosheana vidole vya lawama na shutuma.
 
Uchawa na changamoto ya akili vinaenda sawia, poleni ndugu zetu wa chama tawala!
 
Qummnina
 
Acha siasa za majitaka.... kwenye hii ishu tuna deal na roho za WATU.

Sio ishu za sijui KUBUBUJIKWA kwa Sasa tungejikita na uokozi.
 
Wewe ni jinsia gani mkuu?
 
Soma vizuri andiko langu ndugu yangu mtanzania.ndio Maana nimesema kiwa huu ni wakati wa kuungana, kushikamana, kushikamana na kusimama pamoja kama Taifa.siyo muda wa kunyoosheana vidole vya lawama na shutuma.
Bila shaka wewe una tatizo la akili. Huwezi kuleta taswira ya U- CCM hapa. Ungekuwa na mke angekushauri. Kutwaa kucha unaipamba CCM. Kwahiyo wewe ulikuwa ukiwaendea wana CCM wanaobubujikwa machozi. You are so stupid. Hata nguvu ya kuwajibu wanaokandia thread yako unaipata wapi ningekuwa mimi ningefanya jambo moja katika haya mawili.
1. Ningeomba radhi kwa uandishi uchwara kama huu.
2. Ninge kaa kimya nikijisomea ushauri ninaopata toka kwa wachangiaji.
Njaa yako ya cheo imeharibu ubongo wako.
 
Soma vizuri andiko langu ndugu yangu mtanzania.ndio Maana nimesema kiwa huu ni wakati wa kuungana, kushikamana, kushikamana na kusimama pamoja kama Taifa.siyo muda wa kunyoosheana vidole vya lawama na shutuma.
Hakuna cha kuungana wala kushikana mkono sijui kufutana
Machozi hapo....
Dhibitini ujenzi huko unaofanywa bila kufata utaratibu na viwango
Bila hivyo tutazidi kububujikwaaa
Na Machozi na tutakuwa tunazikaa sana tu

Ova
 
Huyo brain yake inatakiwa ifanyiwe overhaul ikiwezekana hata utumbo wake
Hii ni beyond repair kama ni gari inakuwa ni write off inabidi iletwe nyingine kama una insurance kubwa
 
Ona hili Jingaaaaaaaaa..........!!!!!!!
 
Jamiiforums.com wamefuta uzi wangu wa mapema kabisa

Na ulikuwa unajibu haya matakataka yakoo

Narudia tena kama wamebubujikwa wayakinge wayanywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…