Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Siyo chawa @ farting?Chawa @ work
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo chawa @ farting?Chawa @ work
We jamaa una ujinga mobNi kwasababu hayajakukuta.lakini kama yangekupata basi usingeandika hayo
Kwani kuna chama kimefurahia tukio hili. Acha kuleta ujinga wako hapa. Walioathirika siyo wana CCM tu. Wewe inawezekana ungekuwa eneo la tukio ungewahoji majeruhi kuhusu uanachama wao. Katika tukio kama hili wenzetu wenye akili zao huachana na ushabiki wa vyama vyao. Wewe jamaa unasaka cheo kwa nguvu sana lah!!!! Njaa mbaya sana.Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.
Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.
Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..
Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
Soma vizuri andiko langu ndugu yangu mtanzania.ndio Maana nimesema kiwa huu ni wakati wa kuungana, kushikamana, kushikamana na kusimama pamoja kama Taifa.siyo muda wa kunyoosheana vidole vya lawama na shutuma.Kwani kuna chama kimefurahia tukio hili. Acha kuleta ujinga wako hapa. Walioathirika siyo wana CCM tu. Wewe inawezekana ungekuwa eneo la tukio ungewahoji majeruhi kuhusu uanachama wao. Katika tukio kama hili wenzetu wenye akili zao huachana na ushabiki wa vyama vyao. Wewe jamaa unasaka cheo kwa nguvu sana lah!!!! Njaa mbaya sana.
KWA HERI NAENDA ZANGU BRAZIL, " Kifo ni Kifo tu!"
Uchawa na changamoto ya akili vinaenda sawia, poleni ndugu zetu wa chama tawala!Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.
Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.
Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..
Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
QummninaNdugu zangu Watanzania,

Acha siasa za majitaka.... kwenye hii ishu tuna deal na roho za WATU.Ndugu zangu Watanzania,

Wewe ni jinsia gani mkuu?Ndugu zangu Watanzania,

Itanisaidia nn? Akili na maandiko yako yatosha kujua uliko na hata ulivyo.Unajua niliko?
Bila shaka wewe una tatizo la akili. Huwezi kuleta taswira ya U- CCM hapa. Ungekuwa na mke angekushauri. Kutwaa kucha unaipamba CCM. Kwahiyo wewe ulikuwa ukiwaendea wana CCM wanaobubujikwa machozi. You are so stupid. Hata nguvu ya kuwajibu wanaokandia thread yako unaipata wapi ningekuwa mimi ningefanya jambo moja katika haya mawili.Soma vizuri andiko langu ndugu yangu mtanzania.ndio Maana nimesema kiwa huu ni wakati wa kuungana, kushikamana, kushikamana na kusimama pamoja kama Taifa.siyo muda wa kunyoosheana vidole vya lawama na shutuma.
🌈 huyoWewe ni jinsia gani mkuu?
Huyo brain yake inatakiwa ifanyiwe overhaul ikiwezekana hata utumbo wakeNdugu Lucas Mwashambwa inapasa ufahamu kuwa matusi ya waombolezaji ni laana
Hakuna cha kuungana wala kushikana mkono sijui kufutanaSoma vizuri andiko langu ndugu yangu mtanzania.ndio Maana nimesema kiwa huu ni wakati wa kuungana, kushikamana, kushikamana na kusimama pamoja kama Taifa.siyo muda wa kunyoosheana vidole vya lawama na shutuma.
Hii ni beyond repair kama ni gari inakuwa ni write off inabidi iletwe nyingine kama una insurance kubwaHuyo brain yake inatakiwa ifanyiwe overhaul ikiwezekana hata utumbo wake
Ona hili Jingaaaaaaaaa..........!!!!!!!Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.
Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.
Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..
Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
Jamiiforums.com wamefuta uzi wangu wa mapema kabisaNdugu zangu Watanzania,