Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
mi naona sawa,ili mradi ajatukana mtu,hayo uitwa mazoea ujenga tabia hakuna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Picha hii iko gazeti la Mwananchi, leo tarehe 25.7.2012. Najiluliza ni mmonyoko wa maadili au nidhamu mbovu kuongea wakati ameweka mikono mifukoni. Jadili.
nidhamu mbovu sana hii tena ya kujikuza vibaya
Ha! ha! ha! ... Mwalimu unaonekana unaichukia sana hii tabia! ...
gfsonwin sipati picha ukimsimamisha mwanafunzi darasani unamwambia ajibu swali fulani alafu awe anakujibu huku ameweka mikono mfukoni! ... lazma umfokee! ...
quote ... "Weweee! hebu toa mikono mifukoni! ... tabia gani hiyo! ... yaani unaongea na mwalimu wako huku umeweka mikono mifukoni! ... ole wako urudie tena!" ...
.... teh! teh teh!
Huo ni mtazamo wako mkuu, heshima haioneshwi kwa kutoa mikono nje wala kupiga magoti, wala kutoa shikamoo nyingi kwa watu.Picha hii iko gazeti la Mwananchi, leo tarehe 25.7.2012. Najiluliza ni mmonyoko wa maadili au nidhamu mbovu kuongea wakati ameweka mikono mifukoni. Jadili.
yaani umepatia sana na ndivyo nilivyo mimi hata mwanangu tu haongei na mimi mikono mfukoni. kuna tabia mbaya siziruhusu kutokea kama hizi;
- kuongea na mikono mfukoni lazima nikufokee tu tena na bakora upate kama utashindikana
- kukaa wakati mimi ninapita ama tu mzima yeyote jamani uuuuwiiiiiiiiiiii wanafunzi wangu wananiajua si vumilii hili. eti unakuta wanafunzi wamekaa kwenye majani labda wewe unapita na sketi yako mathalani unapandisha ngazi halafu wamekaa aisee kwanza wananijua ingawa ni wakaka hawawez n aukiwauliza wanasema
- nipite na kapu la mwl halafu nipishane na mwanafunzi asinipokee lol! hapaa aiseee!
-niingie darasani eti wasisimame kunisalimia duh!!!!!!!!!!!!! aisee haiwezekani
-tabia nyingine mbaya zaid nafundisha darasani mwanafunzi anakula ama anatafuna BIG G duh!!!!!!!!!
ila wananijuaga best hawafanyagi haya manake wanasemaga kabisa mwl mama akikukuta utakoma.
Picha hii iko gazeti la Mwananchi, leo tarehe 25.7.2012. Najiluliza ni mmonyoko wa maadili au nidhamu mbovu kuongea wakati ameweka mikono mifukoni. Jadili.