Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba

Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba

ila hii si tabia nzuri hata kidogo unaongea mbele ya umati umeweka mkono mkono mifukoni?
labda angekuwa na vijana wenzake wanauza chai ingekuwa poa mbele ya kipaza sauti watu wanakusikiliza weye waweka mikono mifukoni? eboooooooooo
 
ukoo sahii mkuu hata mi namwona kasinzia au atakuwa anatafakari kijana anayoyasema. si unajua ndio staili yetu ya kutafakari

Hahahahahaha inaonekana hiyo program ya kukusanya maoni inaboa sana yani watu wapo kikazi zaidi kula Posho za Safari. Nahisi huu ni Mradi.
 
ahhaaaaa ndio maana yake sasa ngoja tusubiri matokeo ya ukusanyaji wa maoni,utakuta maoni haswa yamewekwa pembeni maoni ("yao) ndio yapo katika makaratasi.
 
Member JF jamani sisi watanzania tunakwenda wapi?

Manake haya mambo ni michanganyo.
Maadili yameporomoka,kwa habari nilizoziona juzi tu hapa kwenye STAR TV ni za kuuzunisha.

Wana JF wezangu, hizi habari nilizozipata kutoka kwenye chombo hiki cha habari zikieleza kwamba,nanukuu(mtoto kuishi na mama yake kama mke na mme)hili jambo ni sawa?

Watanzania tunakwenda wapi,kwanini tunakopi culture isiyo kuwa nzuri,wana JF yaani mtoto kumfanya mama yake mzazi kua kama mke wake wa maisha du linanichanganya.
Yaani anapashughulikia mulemule alimotokea,hama kweli maadili ya watanzania yameshuka.
 
Mr. BUJIBUJI yawezekana ikawa hivyo,lakini bado ainipi kwa mtu mwenye akili timamu.KUFANYA MAPEZI NA MZAZI?hama kweli mbdili yameporomoka.
 
hii dunia inaelekea wapi, duh w cjui wanaanzaje anzaje.......................
 
wale wa STAR TV? niwatu wa Songea mtu na mama yake,mama anamiaka 70 sasa, walianza miaka kumi iliyopita! yule jamaa anamiaka zaidi ya 40! nadhani wanashida ya akili mkuu! make wamechoka sana! halafu kama hawajielewi vile!
mibinafsi nilicheka tu!
 
Ndugu zangu,sasa hivi kuna tatizo katika malezi,watoto wetu hawatomjua mungu wala hawana na hawaoni umuhimu kusikiliza maneno ya Mungu na wazazi hilo linatushinda kusimamia,kizazi kijacho kitaangamia kwani tunakuwa tunawasikiliza watoto wanachotaka badala ya kuwajulisha na kuwataka wamuogope Mungu
 
Asante kwa mada inayoelimisha na hasa pale inapoelezea msimamo wa Mungu kuhusu maadili!! Wanadamu waache kusingizia eti wamezaliwa na silka ya ushoga. Ingekuwa hivyo basi hata wezi, wauaji na wahalifu wengine wangeachiwa huru kwa mtazamo kuwa wamezaliwa hivyo jambo ambalo haiwezekani.
 
Back
Top Bottom