Member JF jamani sisi watanzania tunakwenda wapi?
Manake haya mambo ni michanganyo.
Maadili yameporomoka,kwa habari nilizoziona juzi tu hapa kwenye STAR TV ni za kuuzunisha.
Wana JF wezangu, hizi habari nilizozipata kutoka kwenye chombo hiki cha habari zikieleza kwamba,nanukuu(mtoto kuishi na mama yake kama mke na mme)hili jambo ni sawa?
Watanzania tunakwenda wapi,kwanini tunakopi culture isiyo kuwa nzuri,wana JF yaani mtoto kumfanya mama yake mzazi kua kama mke wake wa maisha du linanichanganya.
Yaani anapashughulikia mulemule alimotokea,hama kweli maadili ya watanzania yameshuka.