ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #61
Sio visingizio ndio ukweli.Ni.lini ATCL imewahi pata faida.Kila siku mnasingizia miradi mikubwa ndio sababu ya thamani ya shilingi kushuka ; ndio sababu ya deni la Taifa kupaa lakini hata siku moja hamna ujasiri wa kusema utawala wenu wa kifisadi ndio sababu kubwa ya matatizo yote hayo! Angalia kwa Mfano madeni ya Air Tanzania yanayosababishwa na corruption and poor management! Samia has failed as a President.
Uchumi wa Uganda unakuwa kwa 7+% kwa mwaka, na bado mafuta hayajaanza kumiminika Tanga.Meli inazamaje kutoka 67 Hadi 85?
CAG au Serikali ilisema deni limeonezeka takwimu ni sawa.Eti tanzaniainvest.com ndio reliable source of info, hao ni machawa kama wewe unatarajia waandike kitu negative juu ya huyo sa100?
Propaganda kama za kale ka Jamaa mnakaita mwamba huko Burkinafaso😂 Naomba kujua kwanini umetulia Rwanda kama mfano kiongozi
Cooked data hakuna kingine!CAG au Serikali ilisema deni limeonezeka takwimu ni sawa.
Wakisema Uchumi umekua wanakuwa machawa 😂😂
Reliable sources ni zipi? Hao inaodai ni machawa hawawwki taarifa zao Bali za BoT nk.
Data zilizochemshwa tunazipata wapi?Cooked data hakuna kingine!
Nilikuwa nawakumbusha pro-pk humu maana hata uwaelimishe vipi wao wanaamini wale jamaa wanaakili na pesa mingi😂 Naomba kujua kwanini umetulia Rwanda kama mfano kiongozi
Wee ni kapumbavu sana!Meli inazamaje kutoka 67 Hadi 85?
M7 Keshatufikia na ni land locked
Wewe ni fala sana,Sasa Shilingi imeporomoka harafu uchumi umeongezeka Kwa USD 22bln kwako nini kina ring?Wee ni kapumbavu sana!
Hivi ongezeko la dola bilioni 22 ni kitu gani kwa mporomoko huu wa shilingi yenu?
Mafi kabisa nyie na huyo bibienu
Kama waccm wenyewe ndio kama hawa unategemea nini?!Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 67bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View attachment 3313023
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.
July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024
Wee ni kapumbavu sana!
Hivi ongezeko la dola bilioni 22 ni kitu gani kwa mporomoko huu wa shilingi yenu?
Mafi kabisa nyie na huyo bibienu
Wee ni kapumbavu sana!
Hivi ongezeko la dola bilioni 22 ni kitu gani kwa mporomoko huu wa shilingi yenu?
Mafi kabisa nyie na huyo bibienu
Wewe ni taahira!Wewe ni fala sana,Sasa Shilingi imeporomoka harafu uchumi umeongezeka Kwa USD 22bln kwako nini kina ring?
Hilo ongezeko ni kubwa kuliko miaka 6 ya Mwendazake
Kabla ya kuhamasisha goli tukunbuke kwamba USD 22 bln imeongezeka ndani ya miaka 4 wakati Kuna Rais alikaa hapa miaka 6 hata USD 20 bln hakupata.Wewe ni taahira!
Nguvu ya manunuzi ya hiyo dola bil. 85 ni sawa na 67 ya nyuma?
Uchumi umekuwa kwenye makaratasi ya Samia anyopewa na machawa wake ila kiuhalisia hamna kitu.Kabla ya kuhamasisha goli tukunbuke kwamba USD 22 bln imeongezeka ndani ya miaka 4 wakati Kuna Rais alikaa hapa miaka 6 hata USD 20 bln hakupata.
Nguvu ya manunuzi ya Dola ya 2015 ilikuwa sawa na Machi 2021?
Dah. Kweli usimdhanie mtu.Wee ni kapumbavu sana!
Hivi ongezeko la dola bilioni 18 ni kitu gani kwa mporomoko huu wa shilingi yenu?
Mafi kabisa nyie na huyo bibienu
Kilimo kimepata mhuni, Bashe kazi yake ni upigaji wa BBT, madili ya sukari na kumuingiza chaka Rais.60 years tumeshindwa kutumia kilimo kama number one export? What in the hell?
Nyerere atleast alianza ku practise hii, but serikali zilizofuata zilia abandon kilimo mpaka elo hakijainuka
Nadhan watu hawapo serious?
Bashe amejitahidi sana ukweli usemwe shida ni moja fedha za kigeni zote zinazoingia zinatoka kwenda China kupitia miradi,unnecessary import,uagizaji mafuta na goverment expenditure.Tunahitaji kudhibit import tuagize vitu vvya msingi sio mfanyabiashara anachukua dollar BOT kwenye kuchukua pipi China huo ni ujinga kabisaKilimo kimepata mhuni, Bashe kazi yake ni upigaji wa BBT, madili ya sukari na kumuingiza chaka Rais.
Alitoa baraka kwa mradi hewa BBT, nasasa anaenda kubarikintena uhuni wa inayoigwa Benki ya ushirika