China sio jambo la ajabu, Mao alipata shida sana kuitawala.Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.
Itakumbukwa kuwa kuelekea ushindi wake kuendelea kuiongoza China Xi ili kujihakikishia anashika hatamu sawa sawa ya madaraka yake aliwaondoa viongozi wote aliowatilia mashaka ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Li Keqiang. Xi akapanga team yake ya loyalists. Xi akajiaminisha kuwa yes sasa hakuna cha kunitisha.
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
1. Viongozi chini ya Itikadi za Kijamaa/Kikomunist hujisahau na kufikiri Wao ni miungu watu
2. Mungu ni mwenye Wivu; pale mtu anapojifanya mungu mtu, yeye humuangalia tu (proverbs 14:12) wakati anasema aha sasa niko salama na anguko lake ndipo huja.
3. Nimeisha waambia tena na tena humu JF kuwa Biblia katika Daniel 11 inawatambulisha Wafalme Wawili. Mfalme wa Kusini (ktk zama zetu ni Ushirika wa USA & UK wakiungwa Mkono na washirika wao wa Mataifa ya magharibi) Mfalme wa Kaskazini (ambaye katika zama zetu ni Urusi pamoja na Washirika wake ambao ni China, Iran na N. Korea).
Biblia inamtambulisha USA/UK kuwa ndiyo World Super Power. Mfalme wa Kaskazini na Washirika wake wanataka kuchukua nafasi hiyo. Hata hivyo Biblia inatuhakikishia kuwa hawataweza. Na mbaya zaidi Mfalme wa Kaskazini sera zake zinapingana kabisa na malengo ya Mungu. Mfano Uhuru wa kuabudu. Tunaona Urusi China na N. Korea zinapinga utendaji wa Kikiristo.
Urusi wako na puppet Russian christian orthodox lakini inakandamiza utendaji wa makanisa mengine, mfano imewapiga marufuku kabisa mashahidi wa yehova ikiwatuhumu ati ni magaidi. Iran nayo inakandamiza uhuru wa kuabudu kwa wakristo.
4. Hivyo sitashangaa kuona mataifa haya yakamong'onyoka from within kama vile tuliona kwa SOVIET UNION na the Eastern Communist Block.
5. Tukumbuke tena kuwa MWAKA 2029, DUNIA ITAADHIMISHA MIAKA 2000 toka Yesu ametambulishwa Rasmi kuwa Yeye ndiyo Messiah. Kuelekea mwaka huo tutegemee kuona a lots of upheavals, zitakazotikisa Dunia; lakini hatimaje huenda kukawa na kipindi kifupi cha AMANI (amani ambayo ni fake)
Ni kwwli wanamkwida Xi?China sio jambo la ajabu, Mao alipata shida sana kuitawala.
Project 571, Gang of four hizo zote ni struggle za kukwapua madaraka China.
Unamzunguzia mungu wa waisrael au mungu wa china ndo mwenye wivu?Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.
Itakumbukwa kuwa kuelekea ushindi wake kuendelea kuiongoza China Xi ili kujihakikishia anashika hatamu sawa sawa ya madaraka yake aliwaondoa viongozi wote aliowatilia mashaka ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Li Keqiang. Xi akapanga team yake ya loyalists. Xi akajiaminisha kuwa yes sasa hakuna cha kunitisha.
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
1. Viongozi chini ya Itikadi za Kijamaa/Kikomunist hujisahau na kufikiri Wao ni miungu watu
2. Mungu ni mwenye Wivu; pale mtu anapojifanya mungu mtu, yeye humuangalia tu (proverbs 14:12) wakati anasema aha sasa niko salama na anguko lake ndipo huja.
3. Nimeisha waambia tena na tena humu JF kuwa Biblia katika Daniel 11 inawatambulisha Wafalme Wawili. Mfalme wa Kusini (ktk zama zetu ni Ushirika wa USA & UK wakiungwa Mkono na washirika wao wa Mataifa ya magharibi) Mfalme wa Kaskazini (ambaye katika zama zetu ni Urusi pamoja na Washirika wake ambao ni China, Iran na N. Korea).
Biblia inamtambulisha USA/UK kuwa ndiyo World Super Power. Mfalme wa Kaskazini na Washirika wake wanataka kuchukua nafasi hiyo. Hata hivyo Biblia inatuhakikishia kuwa hawataweza. Na mbaya zaidi Mfalme wa Kaskazini sera zake zinapingana kabisa na malengo ya Mungu. Mfano Uhuru wa kuabudu. Tunaona Urusi China na N. Korea zinapinga utendaji wa Kikiristo.
Urusi wako na puppet Russian christian orthodox lakini inakandamiza utendaji wa makanisa mengine, mfano imewapiga marufuku kabisa mashahidi wa yehova ikiwatuhumu ati ni magaidi. Iran nayo inakandamiza uhuru wa kuabudu kwa wakristo.
4. Hivyo sitashangaa kuona mataifa haya yakamong'onyoka from within kama vile tuliona kwa SOVIET UNION na the Eastern Communist Block.
5. Tukumbuke tena kuwa MWAKA 2029, DUNIA ITAADHIMISHA MIAKA 2000 toka Yesu ametambulishwa Rasmi kuwa Yeye ndiyo Messiah. Kuelekea mwaka huo tutegemee kuona a lots of upheavals, zitakazotikisa Dunia; lakini hatimaje huenda kukawa na kipindi kifupi cha AMANI (amani ambayo ni fake)
Bila shaka mlichukua pamoja😂Naona leo umesahau kumeza zile dawa zako
Ni tetesi tu mitandaoni, huwa zinazuka mara kwa mara kuhusu yeye kuwa detaine, sijui kwa nini! Labda kuna watu hakumuelewa alipobadilisha katiba kuwa mtawala wa milele Xi JinpingNi kwwli wanamkwida Xi?
Xi Jinping mwenyewe anasemaje kwani? 🤔
Ni tetesi tu mitandaoni, huwa zinazuka mara kwa mara kuhusu yeye kuwa detaine, sijui kwa nini! Labda kuna watu hakumuelewa alipobadilisha katiba kuwa mtawala wa milele Xi Jinping
Nini kinachofanya generals wengi wa jeshi la China kupruniwa tangu 2022??Propaganda
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
Nini kinachofanya generals wengi wa jeshi la China kupruniwa tangu 2022??
Huenda hujui lolote uko Kisarawe umevimbiwa mihogo tu🤣Propaganda
Huenda hujui lolote uko Kisarawe umevimbiwa mihogo tu🤣
Kapigwa pin kwenda BrazilNi tetesi tu mitandaoni, huwa zinazuka mara kwa mara kuhusu yeye kuwa detaine, sijui kwa nini! Labda kuna watu hakumuelewa alipobadilisha katiba kuwa mtawala wa milele Xi Jinping
Wajamaa kama wewe ni lazima upiganie ikikadi yakoXi Jinping kafanya vizuri sana kuliko Hu Jintao
Xi kaja wakati sahihi zaidi, CPC wako sahihi kumpa uraisi wa kudumu
Huyu anaweza hata kukupora DEMU huyu mungu huyu wa wivu.Unamzunguzia mungu wa waisrael au mungu wa china ndo mwenye wivu?
Usije ukanihefua na cult yenuNaona leo umesahau kumeza zile dawa zako