Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Wacha tumuulize mtangulizi wake, kwani unahusika na hili tukio mkuu? Hu JintaoXi Jinping mwenyewe anasemaje kwani? 🤔

China imerudije nyuma kisiasa?Kiuchumi wanakua ila kisiasa anawarudisha nyuma Wachina.
😁😁Unamzunguzia mungu wa waisrael au mungu wa china ndo mwenye wivu?
Nashukuru kwa taarifa exclusive mkuu.Yupo
Ebu fuatilia ujue Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti Cha China (CCP) chenye wajumbe 24 na chenye mamlaka makubwa ya maamuzi ndani ya chama na ndani ya China kilichofanyika tarehe 30 Juni, 2025 chini ya Rais Xi Jinping kiliamua nini. Baada ya hapo tuletee habari.Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.
Itakumbukwa kuwa kuelekea ushindi wake kuendelea kuiongoza China Xi ili kujihakikishia anashika hatamu sawa sawa ya madaraka yake aliwaondoa viongozi wote aliowatilia mashaka ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Li Keqiang. Xi akapanga team yake ya loyalists. Xi akajiaminisha kuwa yes sasa hakuna cha kunitisha.
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
1. Viongozi chini ya Itikadi za Kijamaa/Kikomunist hujisahau na kufikiri Wao ni miungu watu
2. Mungu ni mwenye Wivu; pale mtu anapojifanya mungu mtu, yeye humuangalia tu (proverbs 14:12) wakati anasema aha sasa niko salama na anguko lake ndipo huja.
3. Nimeisha waambia tena na tena humu JF kuwa Biblia katika Daniel 11 inawatambulisha Wafalme Wawili. Mfalme wa Kusini (ktk zama zetu ni Ushirika wa USA & UK wakiungwa Mkono na washirika wao wa Mataifa ya magharibi) Mfalme wa Kaskazini (ambaye katika zama zetu ni Urusi pamoja na Washirika wake ambao ni China, Iran na N. Korea).
Biblia inamtambulisha USA/UK kuwa ndiyo World Super Power. Mfalme wa Kaskazini na Washirika wake wanataka kuchukua nafasi hiyo. Hata hivyo Biblia inatuhakikishia kuwa hawataweza. Na mbaya zaidi Mfalme wa Kaskazini sera zake zinapingana kabisa na malengo ya Mungu. Mfano Uhuru wa kuabudu. Tunaona Urusi China na N. Korea zinapinga utendaji wa Kikiristo.
Urusi wako na puppet Russian christian orthodox lakini inakandamiza utendaji wa makanisa mengine, mfano imewapiga marufuku kabisa mashahidi wa yehova ikiwatuhumu ati ni magaidi. Iran nayo inakandamiza uhuru wa kuabudu kwa wakristo.
4. Hivyo sitashangaa kuona mataifa haya yakamong'onyoka from within kama vile tuliona kwa SOVIET UNION na the Eastern Communist Block.
5. Tukumbuke tena kuwa MWAKA 2029, DUNIA ITAADHIMISHA MIAKA 2000 toka Yesu ametambulishwa Rasmi kuwa Yeye ndiyo Messiah. Kuelekea mwaka huo tutegemee kuona a lots of upheavals, zitakazotikisa Dunia; lakini hatimaje huenda kukawa na kipindi kifupi cha AMANI (amani ambayo ni fake)
Chai ya joexNi kwwli wanamkwida Xi?
Mzee labda unaizungumzia china ya tandale.Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.
Itakumbukwa kuwa kuelekea ushindi wake kuendelea kuiongoza China Xi ili kujihakikishia anashika hatamu sawa sawa ya madaraka yake aliwaondoa viongozi wote aliowatilia mashaka ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Li Keqiang. Xi akapanga team yake ya loyalists. Xi akajiaminisha kuwa yes sasa hakuna cha kunitisha.
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
1. Viongozi chini ya Itikadi za Kijamaa/Kikomunist hujisahau na kufikiri Wao ni miungu watu
2. Mungu ni mwenye Wivu; pale mtu anapojifanya mungu mtu, yeye humuangalia tu (proverbs 14:12) wakati anasema aha sasa niko salama na anguko lake ndipo huja.
3. Nimeisha waambia tena na tena humu JF kuwa Biblia katika Daniel 11 inawatambulisha Wafalme Wawili. Mfalme wa Kusini (ktk zama zetu ni Ushirika wa USA & UK wakiungwa Mkono na washirika wao wa Mataifa ya magharibi) Mfalme wa Kaskazini (ambaye katika zama zetu ni Urusi pamoja na Washirika wake ambao ni China, Iran na N. Korea).
Biblia inamtambulisha USA/UK kuwa ndiyo World Super Power. Mfalme wa Kaskazini na Washirika wake wanataka kuchukua nafasi hiyo. Hata hivyo Biblia inatuhakikishia kuwa hawataweza. Na mbaya zaidi Mfalme wa Kaskazini sera zake zinapingana kabisa na malengo ya Mungu. Mfano Uhuru wa kuabudu. Tunaona Urusi China na N. Korea zinapinga utendaji wa Kikiristo.
Urusi wako na puppet Russian christian orthodox lakini inakandamiza utendaji wa makanisa mengine, mfano imewapiga marufuku kabisa mashahidi wa yehova ikiwatuhumu ati ni magaidi. Iran nayo inakandamiza uhuru wa kuabudu kwa wakristo.
4. Hivyo sitashangaa kuona mataifa haya yakamong'onyoka from within kama vile tuliona kwa SOVIET UNION na the Eastern Communist Block.
5. Tukumbuke tena kuwa MWAKA 2029, DUNIA ITAADHIMISHA MIAKA 2000 toka Yesu ametambulishwa Rasmi kuwa Yeye ndiyo Messiah. Kuelekea mwaka huo tutegemee kuona a lots of upheavals, zitakazotikisa Dunia; lakini hatimaje huenda kukawa na kipindi kifupi cha AMANI (amani ambayo ni fake)
Propaganda tu hizi, Xi Jinping ndio mtu mwenye nguvu zaidi huko China hakuna wakumyumbisha.Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.
Itakumbukwa kuwa kuelekea ushindi wake kuendelea kuiongoza China Xi ili kujihakikishia anashika hatamu sawa sawa ya madaraka yake aliwaondoa viongozi wote aliowatilia mashaka ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Li Keqiang. Xi akapanga team yake ya loyalists. Xi akajiaminisha kuwa yes sasa hakuna cha kunitisha.
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
1. Viongozi chini ya Itikadi za Kijamaa/Kikomunist hujisahau na kufikiri Wao ni miungu watu
2. Mungu ni mwenye Wivu; pale mtu anapojifanya mungu mtu, yeye humuangalia tu (proverbs 14:12) wakati anasema aha sasa niko salama na anguko lake ndipo huja.
3. Nimeisha waambia tena na tena humu JF kuwa Biblia katika Daniel 11 inawatambulisha Wafalme Wawili. Mfalme wa Kusini (ktk zama zetu ni Ushirika wa USA & UK wakiungwa Mkono na washirika wao wa Mataifa ya magharibi) Mfalme wa Kaskazini (ambaye katika zama zetu ni Urusi pamoja na Washirika wake ambao ni China, Iran na N. Korea).
Biblia inamtambulisha USA/UK kuwa ndiyo World Super Power. Mfalme wa Kaskazini na Washirika wake wanataka kuchukua nafasi hiyo. Hata hivyo Biblia inatuhakikishia kuwa hawataweza. Na mbaya zaidi Mfalme wa Kaskazini sera zake zinapingana kabisa na malengo ya Mungu. Mfano Uhuru wa kuabudu. Tunaona Urusi China na N. Korea zinapinga utendaji wa Kikiristo.
Urusi wako na puppet Russian christian orthodox lakini inakandamiza utendaji wa makanisa mengine, mfano imewapiga marufuku kabisa mashahidi wa yehova ikiwatuhumu ati ni magaidi. Iran nayo inakandamiza uhuru wa kuabudu kwa wakristo.
4. Hivyo sitashangaa kuona mataifa haya yakamong'onyoka from within kama vile tuliona kwa SOVIET UNION na the Eastern Communist Block.
5. Tukumbuke tena kuwa MWAKA 2029, DUNIA ITAADHIMISHA MIAKA 2000 toka Yesu ametambulishwa Rasmi kuwa Yeye ndiyo Messiah. Kuelekea mwaka huo tutegemee kuona a lots of upheavals, zitakazotikisa Dunia; lakini hatimaje huenda kukawa na kipindi kifupi cha uAMANI (amani ambayo ni fake)
Uwo ndio mtazamo wako wa ki magharibiXi anataka kuwa kama Deng Xiaoping ila Deng anamzidi mbali Xi kwenye uadui.
Wakati Deng anaingia kuna vigogo walikuwa wameshika hatamu, na walikuwa wa serikali ya Mao iliyomtangulia ambayo alikuwa anakosoa sera zake za kiuchumi. Kwahiyo Deng alikuta upinzani mkali wa mwenendo wake ila akawanyoosha taratibu bila fujo sana akawashawishi na China ikapata maendeleo makubwa.
Sasa Xi kakuta structure imara, pia alitanguliwa na viongozi wazuri na nchi haikuwa na vigogo wasumbufu. Kakuta kuna utulivu wa kisiasa ila anataka kutawala muda mrefu ingawa uongozi wake sio mbaya.
Xi kafanya consolidation of power na anataka kurudisha utawala wa chuma jambo lisilohitajika kwa China ya sasa. Kakufukuza watu, kabambikia kesi watu kama yule Waziri wa Sheria aliyekuwa anapinga Xi kuchaguliwa tena, kafanya sideline hata viongozi wastaafu na hataki mtu awe maarufu kisiasa na kijeshi.
Kiuchumi wanakua ila kisiasa anawarudisha nyuma Wachina.
Hakuna mwenye nguvu kumzidi Xijinping huko China kuanzia ndani ya Ccp mpaka jeshini......hivyo wa kumtingisha hayupo.Xi anataka kuwa kama Deng Xiaoping ila Deng anamzidi mbali Xi kwenye uadui.
Wakati Deng anaingia kuna vigogo walikuwa wameshika hatamu, na walikuwa wa serikali ya Mao iliyomtangulia ambayo alikuwa anakosoa sera zake za kiuchumi. Kwahiyo Deng alikuta upinzani mkali wa mwenendo wake ila akawanyoosha taratibu bila fujo sana akawashawishi na China ikapata maendeleo makubwa.
Sasa Xi kakuta structure imara, pia alitanguliwa na viongozi wazuri na nchi haikuwa na vigogo wasumbufu. Kakuta kuna utulivu wa kisiasa ila anataka kutawala muda mrefu ingawa uongozi wake sio mbaya.
Xi kafanya consolidation of power na anataka kurudisha utawala wa chuma jambo lisilohitajika kwa China ya sasa. Kakufukuza watu, kabambikia kesi watu kama yule Waziri wa Sheria aliyekuwa anapinga Xi kuchaguliwa tena, kafanya sideline hata viongozi wastaafu na hataki mtu awe maarufu kisiasa na kijeshi.
Kiuchumi wanakua ila kisiasa anawarudisha nyuma Wachina.
Propaganda tu hizi, Xi Jinping ndio mtu mwenye nguvu zaidi huko China hakuna wakumyumbisha.
Wewe na akina nani wakati wewe mbongo na kuna Wachina hawamtaki Xi.Uwo ndio mtazamo wako wa ki magharibi
lkn China inatakiwa kukuwa kiuchumi sio kidemokrasia kama watakavyo Wazungu !!
CHINA inatakiwa iwe vile Xi anataka wajamaa tunataka
CHINA moja manake pia ni kauli moja sio midomo mingi ndio Hapana ndio Hapana iyo sio CHINA ilivojegwa tangu mwanzo ktk historia yake. Democratic tumewaachia wenyewe Wazungu.
Unatunga habari na kuconclude! Una shida kwenye kibeba nyweleKumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.
Itakumbukwa kuwa kuelekea ushindi wake kuendelea kuiongoza China Xi ili kujihakikishia anashika hatamu sawa sawa ya madaraka yake aliwaondoa viongozi wote aliowatilia mashaka ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Li Keqiang. Xi akapanga team yake ya loyalists. Xi akajiaminisha kuwa yes sasa hakuna cha kunitisha.
Ikumbukwe kuwa kwa kumlinganisha Xi na mtangulizi wake Hu Jintao, Xi ni Mkomunisti kindakindaki wakati Hu yeye alikazia zaidi maendeleo ya kiuchumi badala ya ushabiki wa siasa za Kijamaa. Na wakati wa Hu Jintao ndipo China ilipiga maendeleo makubwa kiuchumi. Tujifunze nini na kinachoendelea China:
1. Viongozi chini ya Itikadi za Kijamaa/Kikomunist hujisahau na kufikiri Wao ni miungu watu
2. Mungu ni mwenye Wivu; pale mtu anapojifanya mungu mtu, yeye humuangalia tu (proverbs 14:12) wakati anasema aha sasa niko salama na anguko lake ndipo huja.
3. Nimeisha waambia tena na tena humu JF kuwa Biblia katika Daniel 11 inawatambulisha Wafalme Wawili. Mfalme wa Kusini (ktk zama zetu ni Ushirika wa USA & UK wakiungwa Mkono na washirika wao wa Mataifa ya magharibi) Mfalme wa Kaskazini (ambaye katika zama zetu ni Urusi pamoja na Washirika wake ambao ni China, Iran na N. Korea).
Biblia inamtambulisha USA/UK kuwa ndiyo World Super Power. Mfalme wa Kaskazini na Washirika wake wanataka kuchukua nafasi hiyo. Hata hivyo Biblia inatuhakikishia kuwa hawataweza. Na mbaya zaidi Mfalme wa Kaskazini sera zake zinapingana kabisa na malengo ya Mungu. Mfano Uhuru wa kuabudu. Tunaona Urusi China na N. Korea zinapinga utendaji wa Kikiristo.
Urusi wako na puppet Russian christian orthodox lakini inakandamiza utendaji wa makanisa mengine, mfano imewapiga marufuku kabisa mashahidi wa yehova ikiwatuhumu ati ni magaidi. Iran nayo inakandamiza uhuru wa kuabudu kwa wakristo.
4. Hivyo sitashangaa kuona mataifa haya yakamong'onyoka from within kama vile tuliona kwa SOVIET UNION na the Eastern Communist Block.
5. Tukumbuke tena kuwa MWAKA 2029, DUNIA ITAADHIMISHA MIAKA 2000 toka Yesu ametambulishwa Rasmi kuwa Yeye ndiyo Messiah. Kuelekea mwaka huo tutegemee kuona a lots of upheavals, zitakazotikisa Dunia; lakini hatimaje huenda kukawa na kipindi kifupi cha AMANI (amani ambayo ni fake)
Xi kachukua term ya tatu kuwa Chairman wa CCP. Jambo ambalo halikufanywa na watangulizi wake wawili Hu Jintao na Jiang Zemin, walishavuka uko utawala usio na kikomo.China imerudije nyuma kisiasa?
Wewe uko China siyo!?Huenda hujui lolote uko Kisarawe umevimbiwa mihogo tu[emoji1787]
China haijawahi kuwa na Rais asiye na nguvu zaidi kwenye CCP au jeshini.Hakuna mwenye nguvu kumzidi Xijinping huko China kuanzia ndani ya Ccp mpaka jeshini
Unakosea mkuu. Marais wakorofi wa China ndio walikuwa na wa kuwatingisha. Tafuta Mao Zedong kasalimika mara ngapi, pamoja na ukorofi wake na mkono wa chuma. Hata Deng alikuwa na upinzani. Na hao wawili Xi hawafikii wala kuwakaribia.......hivyo wa kumtingisha hayupo.
Ukimsikia mtu anakashifu ujamaa jua moja kwa moja mtu huyo uwezo wake kiakili ni mndogo mno ....na ukisikia mtu anakashifu ubepari huyo naye ni punguani ....nilisha eleza hapa kuwa ujamaa una sehemu yake na ubepari una sehemu yake ..kuna mifumo mi 4 tu nayo ni ..Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea Kazakhstan.