Kupotea ghafla kwa Xi Jinping katika Duru za Kisiasa kunatufunza nini?

Nani alikwambia China wana terms rasmi za miaka ya kuongoza?

Ni Hu Jintao peke yake aliongoza kwa terms 2 kama paramount leader

Ila CPC hawana hiyo sheria kwamba raisi wa China akae terms 2

Mnapotoshwa sana na political analysts wa Magharibi

Wanakimbilia kusema Xi dikteta na wala hawajui mifumo ya CPC inapohusu terms za uraisi nchini China
​
 
Si yupo juku JF? Kwanini asiulizwe kama ana mpango wa kutoroka kwenda Kazakhstan?
 
Upinzani upo ila hauna nguvu ndio maana Xi Jinping kawa Rais wa maisha.
 
Nani alikwambia China wana terms rasmi za miaka ya kuongoza?​
China walikuwa na term limit rasmi ya two terms. Ikaondolewa na Xi Jingping mwaka 2018. Kakwambia nani hawakuwa na limit?

Ni Hu Jintao peke yake aliongoza kwa terms 2 kama paramount leader​
Hata Jiang Zemin kaongoza two terms.

Ila CPC hawana hiyo sheria kwamba raisi wa China akae terms 2​
Walikuwa nayo na Xi akaiondoa. Akafunga watu na kuwabambikizia kesi. Na anaendelea kutimua maofisa wa jeshi na watu muhimu kwenye chama anawaweka pembeni.

Mnapotoshwa sana na political analysts wa Magharibi

Wanakimbilia kusema Xi dikteta na wala hawajui mifumo ya CPC inapohusu terms za uraisi nchini China
​
Mifumo na miiko ya CPC ilikuwepo na Xi anaivunja.
 
Western media propaganda at its ZENITH using his Masters VOICE,tell you WHAT?? This proves that we still have a long way to go as Africans!!
 
Umeelewa nilichoandika?​
 
China walikuwa na term limit rasmi ya two terms. Ikaondolewa na Xi Jingping mwaka 2018. Kakwambia nani hawakuwa na limit?
Jiang Zemin hakutawala kwa terms 2 ni Hu Jintao tu

Nani alikwambia China wana terms limit ya two terms?

Lete source kutoka serikali ya China chini ya CPC kuwa raisi lazima akae term mbili zenye jumla ya miaka 10
​
 
Katibu wa chama cha kikomunisti cha China hana ukomo wa utawala labda kama hufahamu kabisa siasa za kikomunisti.

Anataka kuwa kama Mao vichekesho hivi unless hufahamu kabisa how powerful Mao was actually hata Deng tu hakufika nguvu ya Mao na huyo ni Deng ambae hata Xi hajafikia nguvu zake Mao ni jitu lingine kabisa katika siasa za China.

Xi ni Xi, Mao ni Mao, Deng ni Deng, Jiang ni Jiang, Hu ni Hu kila mmoja aliishi ki namna yake na kwa utawala wa namna yake kutokana na hali na changamoto alizo kutana nazo wakati wake kujaribu kusema mmoja anatenda kama fulani au ana jaribu kutenda kama fulani ni kuwa na umasikini wa siasa za China ya kikomunisti namna zinavyo jiendesha.

Kwa kuongeza hao wote watawala wanne ni watawala wa vizazi tofauti kabisa ndani ya CCP na PRC kuanzia kuanzishwa kwa Chama chao na kuzaliwa kwa jamhuri ya watu wa China.
 
China haijawahi kuwa na Rais asiye na nguvu zaidi kwenye CCP au jeshini.
Wewe bwana hufahamu siasa za China kwa namna yake China imewahi kuwa na marais wasio na nguvu ndani ya chama na jeshi.

Kwa kukusaidia cheo cha urais China si cheo tishio nguvu kubwa ipo ndani ya chama na jeshi somehow Inategemeana na influence na huyo mtu ndani ya jeshi na alizonazo ndani ya chama
 
Nani kabambikiwa kesi leta hilo file alilo bambikiwa hapa ? Tuone wote huo uhayawani wa Xi na kuhusu purges ndani ya siasa za China ni jambo la kawaida kabisa labda kama umeanza kufuatilia siasa za China juzi

Vyombo vya habari vya magharibi mara kadhaa wameandika kuwa Xi anateua yes man wake na bla bla nyingi leo hao hao watu wake anawaondosha si ndio ? Au wamegeuka kuwa sio watu wake tena ?
 
Wewe bwana unafurahisha Jiang Zemin kaanza kuongoza toka 1989-2002 akiwa G.S na toka 1989-2004 akiwa Chairman wa Central Military Commission ni Hu Jintao pekee tu ndio kaongoza kwa miaka 10 net
 
Ulokole unapojadili siasa za wakana Mungu wachina mambo yanakuwa kama haya
 
Xi ni Xi na Deng ni Deng hao ni watu wawili tofauti

Nielezee namna Xi anairudisha nyuma China kisiasa ?
 
Hizi propaganda za western intelligence agencies za kujaribu ku-deamonise socialist and former communist Nations mpaka lini??

Mnajaribu hata to gross misinterpret verses za Biblia ku-justify your horror stories, inashangaza sana kuona kwamba kumbe bado kuna watu Duniani wana amini na kuhubiri masuala ya cold war mentality ie Russians are coming, hivi sasa Continental Europe ina amini hivyo baada ya kuzugwa na Viongozi wao kwamba Warusi wakitoka Ukraine watavamia Nchi zao, Uongo mtupu!
 
Wamagharibi ndio wanasema hivyo sababu kajiongezea mihula ya uongozi.
Kama suala ni muda wa utawala basi China imeanza kurudishwa nyuma toka utawala wa kwanza kabisa wa Mao na wote waliofuata angalau ukimuweka kando Hu Jintao ambae alikuwa weak ndani ya chama chao na jeshi.

Na kuhusu kujiongezea mihula hakuna kizuizi cha mihula katika cheo kikuu cha kisiasa na mamlaka ndani ya China hii ni jambo la muda kabisa hata kabla ya Xi kutwaa madaraka 2012 lina fahamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…