Kupotea ghafla kwa Xi Jinping katika Duru za Kisiasa kunatufunza nini?

Kiongozi wa china ana madaraka makubwa sana vipi ikitokea akayatumia vibaya au ikatokea akabadilika kama wa kwetu si itakuwa kisanga
Kuyatumia vibaya katika namna gani ? Japo sio rahisi na sio kwamba haiwezekani maana itapaswa awe na uwezo wa kulitawala vile atakavyo jeshi na awe na uwezo wa kukitawala chama vile atakavyo kwa kuanza na wale members 7 wa juu
 
Kuyatumia vibaya katika namna gani ? Japo sio rahisi na sio kwamba haiwezekani maana itapaswa awe na uwezo wa kulitawala vile atakavyo jeshi na awe na uwezo wa kukitawala chama vile atakavyo kwa kuanza na wale members 7 wa juu
Hujui kutumia madaraka vibaya
 
Wachina na Mungu wa wayahudi wapi na wapi, urusi Wakristo wanasali kama kawa, orthodox ndo dhehebu kubwa zaidi la wakristo pia Kuna waislam wengi tu mfano Jimbo la Chechnya . Habari za ufalme wa kusini sijui magharibi sijui hata kama wa wachina wanahangaika nao wao wako bize na uchina wao sisi watu weusi tuko bize na utamaduni na maandiko ya watu wengine, kutwa kucha kutafuta tafsri. Wao wanapiga hatua hawana habari na hivyo vitabu.
 
Karibu Masaki, Chole na Maneromango mkuu
Karibu Msanga -Sokoni, Ngongele, Bembeza na Mianzi Mkuu.Ila mpunga unatoka sana Marui, kihare na Kisangire kwa wasukuma maisha slope sana.Ndio maana Kila thread na comment tu hata kama sielewi πŸ˜€πŸ˜€
 
Xi Jinping nilivyoona tu anaanza kukoromeana na United States nikajua huyu mwendo wake haumfikishi mbali. Marekani wanambinu nyingi za kukudhoofisha Moja wapo ni kukuchokesha kwanza.
 
Hakuna mwenye nguvu kumzidi Xijinping huko China kuanzia ndani ya Ccp mpaka jeshini......hivyo wa kumtingisha hayupo.
We msifie tu, mwenzio kaanza kuchoshwa kwanza na watu wake huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…