Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 626
- 528
Mbona kama kalengwa chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuuumbeeeee !!! basi Haya .Aisee watu wa Magufuli mpiganieni huyu kijana ni shujaa wenu, Chadema wanapigania wao na nyie piganieni wa kwenu
View attachment 2499007
Huyu ni wa kwenu, mpiganieni...au mnaona aibu sababu kuteka ilikuwa ndio jadi yenu?Hajataja Chadema anawauliza hawa wanaharakati uchwara wa kibongo!
Mkuu unajitoa ufahamu bure tu! Kwani si huyu Mbatia ambae alileta mpaka wakili kwaajili ya kumtetea Mbowe akiwa na kesi ya ugaidi? Au hujui kuwa huyo wakili akilipwa na NCCR? Mbona Maalim Seifu ilikuwa anaenda Ikulu kwa Jiwe hamkuwa kumsema vibaya? Tena alienda mpaka Chato na alikuwa anatoka kwa bashasha tele!Sisi chadema tunashindwa kuingilia ugomvi wa ndugu kwa kuwa hatujui lini mtapatana tena.Nakumbuka Magufuli aliwaita wenyeviti wote wa Vyama vya upinzani Ikulu isipokuwa Chadema haikupewa mwaliko na baada ya mkutano na Magufuli James Mbatia alionekana akifanya mikutano na ziara mikoani na akipokelewa na wakuu wa mikoa wa CCM.
Tuna Mambo mengi ya msingi yanayo ligusa taifa, KATIBA,mfumuko wa bei, hali mgumu za maisha ya watu nk.haya yote yanatuhusu sisi kuyafanyia kazi. Wakati Chadema tunapambna na nduli watu wetu kiuawa na kupotezwa ninyi mlikuwa mkigonga mvinyo na kufurahia na kufanya sherehe na adui yetu. Leo mnahitaji tupaze sauti kwa pamoja kweli?
Kwani mnahisi amefanya makosa kuwashirikisha washirika wenzake?
Kipindi cha jiwe wapi bwana! Mbona kwenye kesi ya Mbowe alikuwa upande wenu, akasimamisha mpaka mwanasheria akalipwa na NCCR huyo wakili ili aje kumtetea Mbowe kwenye kesi yake ya Ugaidi? Kwani nyinyi mbona mnamtetea Samia sasahiv? Yakiwakuta madhira huko mbele watu wasiwasemee?