Kupotea kwa M/K Umoja wa vijana NCCR na ukimya wetu!

Mkuu unajitoa ufahamu bure tu! Kwani si huyu Mbatia ambae alileta mpaka wakili kwaajili ya kumtetea Mbowe akiwa na kesi ya ugaidi? Au hujui kuwa huyo wakili akilipwa na NCCR? Mbona Maalim Seifu ilikuwa anaenda Ikulu kwa Jiwe hamkuwa kumsema vibaya? Tena alienda mpaka Chato na alikuwa anatoka kwa bashasha tele!

Ok iSi huyuhuyu James Mbatia ambae 2015 mlikubaliana kwenye Ukawa kuwa chama kitachoathiliwa na matokeo ya muungano wa Ukawa kitapata fungu kila ruzuku ya serikali inapotelewa kila mwezi na mwisho wa siku hamkupeleka ata sent 1? Si Mbatia huyuhuyu alielazimika kulipa Hotel ambayo ilitumika na Ukawa 2015 na makubaliano yalikuwa ilipwe na yote ila mwisho wa siku James ambatia alikatwa kwenye pension yake Million 98 ili kulipia cos taratibu za kupata ile hotel alizifanya yeye na mwisho wa siku ikala kwake!

Tukisema tuseme mabaya yenu nanyi mna mengi sana ila muhimu alikuwa pamoja nanyi kwenye harakati za kumnasua Mh Mbowe hapa majuzi tu ila leo hii Chadema inafanya vikao na wakina Selasani ambao wanawajua fika kuwa wametumika na serikali kwenda kumnyofoa Mh Mbatia na Sekratalieti yake.
 
Kwani mnahisi amefanya makosa kuwashirikisha washirika wenzake?

Nimehisi wapi, nimekuuliza mbona Chongolo hajapaza sauti, au yeye sio kiongozi wa chama cha siasa? Usije na maelezo ya hisia zako.
 

Anasimamisha mwanasheria kwani Mbowe alikuwa na kesi au siasa chafu zilihamishiwa mahakamani? Wapi nimemtetea Samia, mimi na majizi ya kura wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…