RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Mambo vipi walipa kodi!!?
Hivi majuzi nilikua na process kamkopo Fulani hivi kwenye Moja ya taasisi za kibenki hapa nchini,Hadi sasa hakuna nilichoambulia japo process zote zimekamilika!
Nilipomuuliza mdau mmoja wa taasisi hiyo akaniambia hujui mtandao wa fedha haupo nchini!!?na wameagizwa wataalamu Toka bondeni kuja ku deal na tatizo hilo Hadi Sasa huduma za kipesa kwenye mabenki unazingua kinoma noma!
Akaongeza eti server ya mtandao wetu wa kifedha upo bondeni huko ndio maana wataalamu wanatokea huko!
Sasa nikajiuliza Hadi huo mtandao urudi so tayari tutakua tumepigwa parefu na wahuni!!?
Halafu server kuwa south Africa ni kiusalama zaidi au ni uzembe wetu!!?maana tukiwa wazembe sitoshangaa!!
Wataaalamu wa fedha njooni mtueleze ni nini hasa kinaendelea hapa nchini kwenye maswala ya fedha!!?