Kupotea taratibu kwa alama ya Kanisa Katoliki katika kupinga dhuluma

Alikuwa mkuu wa jimbo kuu la Dar hivyo alikuwa na platform nzuri ya kukemea uchafu wote wa CCM

Mbona pale uliandika Tanzania? Nadhani sasa umeanza kujifunza taratibu, si vibaya! Mwenye platform nzuri kabisa ya kuzungumzia masuala ya kitaifa ni Rais wa TEC wa wakati huo, na Pengo alikuwa chini ya huyo Rais

Yeye ndiyo alikuwa kiongozi Tz
 
Kanisa kama taasisi yoyote ni watu, (viongozi na washirika/waumini).
Kuna nyakati taasisi hizi hujaa waoga au waovu kwa kutenda yasiopaswa au kutotenda yanayopaswa kwa wakati huo.
Kumekuwepo tatizo kwenye jamii na taifa nyakati hizi (serikali, kanisa, chama, vyombo vya dola n.k) vinaweza kutoa na kuyatetea maamuzi ya kipuuzi na yasiyoeleweka kwa akili ya kawaida tu.
 
Mbona pale uliandika Tanzania? Nadhani sasa umeanza kujifunza taratibu, si vibaya! Mwenye platform nzuri kabisa ya kuzungumzia masuala ya kitaifa ni Rais wa TEC wa wakati huo, na Pengo alikuwa chini ya huyo Rais
Hata Padre anaweza kukemea uchafu
 
Hata Padre anaweza kukemea uchafu
Anaweza kabisa, lakini katika maeneo yake ya Utawala, mfano Parokia. Hawezi akatoa tamko la kukemea lenye sura ya Kitaifa
 
Mie ilipoteza imani na uongozi wa kaisa hili tangu pale aliyekuwa Askofu Mkuu, Cardinary Pengo alipotofautiana na TEC katika msimamo wa chombo hiki kuhusu suala la moani ya katiba mpya, TEC walikuwa sahihi sana kutaka maoi ya wananchi yaheshimiwe lakini Pengo akajiingiza upande wa ccm waliokuwa wanasupport uchakachuaji wa ile Rasimu ya Warioba!
Nilijiuliza maswali mengi hivi Pengo au Wakristu walikuwa na maslahi gani na uchakachuaji wa ile Rasimu?? Lakini nilishindwa kupata majibu!......Nafikiri sasa ni wakati kwa Kanisa Katoliki kubadili Muundo na mfumo wa upatikanaji wa viongozi wake waandamizi, kama vipi na wao pia wawe wanafanyiwa uchaguzi ili mtu akitenda kinyume na misingi ya kitume anaondolewa!
 
Anaweza kabisa, lakini katika maeneo yake ya Utawala, mfano Parokia. Hawezi akatoa tamko la kukemea lenye sura ya Kitaifa
Unaangaika bure kuwaelekeza Watu wanye chuki binafsi na kanisa katoriki na hata Kama ukiwawekea ushahidi bado watapinga.
 
Walishakabidhi mamlaka kwa dola la kirumi na papa kubaki kuwa kiongozi wa kidini......sina uhakika kama wanataka kunyemelea tena mamlaka kamili ya dola na kanisa.
 
wanajitahidi
 
Kama muanzisha uzi umekiri hivi, basi wengine wanapiga kelele tu.
 
tangu TEC iliporidhia kumchagua kiongozi wake mwenye mahusiano ya karibu na watawala, eti kwaajili ya kupunguza tension kati ya Serikali na Kanisa.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Naomba kumjua huyo kiongozi vinginevyo hizi ni pumba
 
Bora ya KKKT na siyo RC, RC imekuwa tawi kuu la CCM
Fuatilia kwa karibu matukio yote enzi za mwendazake kama kumekua na muwakilishi toka kanisa katoliki.

Makanisa yooote yalikua yanashiriki na mdhalimu mwendazake kwenye matukio ya kitaifa eccept RC
 
SISI KANISA KATOLIKI NI WANAFIKI SANA....OVER 🙄🙄🙄
 
Hahahaah eti katoliki limetetea haki toka zama... Kasome historia ya dhehebu hilo vyema
 
Lisingeweza kupambana na kijana waliemlea wao wenyewe M jesuit wa katoke seminary!!!Kijana wao alifanya Blunder wasingeweza kumkemea wakati ni wa kwao tena kashika kiti nyeti!!wakati wa jk kanisa lilimwandama sana kisa ni nongwa ya kuwapenyeza kkt na protestants kwenye utawala akiwasahau wana tranformation ya uhuru wa 1961!!!
 
Katika Kanisa Katoliki kuna kitu kinaitwa Hirakia. Hao Walei hawana maamuzi yoyote. Wao hushauri tu. Maamuzi yooote katika Kanisa hufanywa na Hirakia. Inaanzia Papa, Askofu, Padre na Shemasi. Kwa hiyo usimlaumu sana huyu jamaa.
Ni kweli kuna tatizo kubwa sana Kanisa Katoliki
 
Eti llilianza , tangu enzi za manabii.. acha uongo msee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…