KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

Kuelekea uchanguzi 2025 CCM,Form 1 Twende na Mama Au multiple Forms

  • Total voters
    24

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
Piga kura Yako .

Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035.

Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania .

Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
 
Form Moja ni woga wa kushindwa.

Unashindwaje ukiwa madadakani? Ina maana huna kitu cha kuwashawishi wapiga kura?
 
Kwani yeye Samia anasemaje kuhusu issue ya Form ya mgombea uraisi, ?
 
Piga kura Yako .

Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035.

Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania .
 
Hiyo form moja kama mtanipa mimi sawa na sio huyo failure wenu.

🚮🚮🚮
 
Ya chadema mnataka yatokee ccm? Pale pana kofia mbili kwa mtu mmoja. Muhula huu ni form mmoja tu. Multiple form ni mpaka 2030
 
Hiyo form moja kama mtanipa mimi sawa na sio huyo failure wenu.

🚮🚮🚮
Mkuu, Kama unavigeze bila shaka ni haki Yako kuchua form ya kugombea uraisi kupitia CCM
 
Piga kura Yako .

Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035.

Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania .

Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
Mama yenu akisimama Na Tundu Lissu anangukua SAA moja kasorobo asubuhi
 
mama ana vyombo vya dola havitakubali ashindwe, lissu ana wananchi wataka mabadiliko
Haha 😂 mkuu, sio kila kitu Dola Huwa wanafanya.
Mfano mama alivyo chagulia kuwa VP, Dola hawakuhusika kwa lolote.
Siasa inabidi uwe smart kichwani.
 
Back
Top Bottom