KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

Kuelekea uchanguzi 2025 CCM,Form 1 Twende na Mama Au multiple Forms

  • Total voters
    24
Piga kura Yako .

Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035.

Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania .

Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
CCM 2025 iwe na Mgombea Urais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayechukia rushwa na ufisadi.
 
CCM 2025 iwe na Mgombea Urais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayechukia rushwa na ufisadi.
Ccm wanao watu wengi TU, kwa hiyo inabidi multiple forms za kugombea uraisi 2025 zitolewa ili tuwapate mgombea anayeitajiga na wananchi
 
Back
Top Bottom