KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Nataka siasa ipigwe live kati ya Lisu na Mbowe kama ilivyokuwa kwa sugu na msigwa
 
Siku Mbowe alitangaza kugombea uenyekiti ndio nitakubaliana na maneno ya kwamba ni kipenyo ndani ya CHADEMA
 
Tofauti ni kubwa sana ajitafakari
 
Duuh anko Mbowe kazidiwa sana
 
Mbowe atashindwa
 
Vijana wa Mbowe mko wapi?
 

Matokeo haya yanamaana gani kwa CHADEMA?

Je, wapigakura wa Freeman Mbowe hawaamini katika nguvu ya Mitandao ya Kijamii?

Je, Wapigakura wa Freeman Mbowe hawana kabisa smartphone?

Je, Wapigakura wa Freeman Mbowe mchana wako nae usiku wako kwa Lissu?

Je, huu ndio mwanzo wa anguko la Freeman Mbowe kisiasa?

Kkwa maoni haya, tunamshauri nini Mwamba huyu wa siasa aliyedumu Kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya Miaka 20 mfululizo?
 
SIYO KWELI LISU CHALIIII WACHAGA NMNAWAJUWA AU MNAWASIKIA TU?
 
Kura zikipigwa mtandaoni Lissu lazima ashinde. Ila zile nje ya mtandao inakuwa kinyume chake. Kisiasa Lissu ni mdogo kuliko Abdul Nondo
Hiyo ni kweli kabisa. Ni kama ilivyo CCM na vyama vingine vya upinzani. Kwenye mitandao vyama vya upinzani vina wafuasi wengi kweli lakini hawapendi na hawaendi kupiga kura. CCM tupo wachache sana mitandaoni lakini siku ya kupiga kura, heri tusile siku hiyo lakini LAZIMA tupige kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…