Boay Hotay
Senior Member
- Jul 8, 2023
- 103
- 142
Nataka siasa ipigwe live kati ya Lisu na Mbowe kama ilivyokuwa kwa sugu na msigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ni kubwa sana ajitafakariView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA

Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.
Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Duuh anko Mbowe kazidiwa sanaView attachment 3172848

Anamdhalilisha jamaaWampe lissu
Mbowe atashindwaView attachment 3172848

Hatari sanaAnamdhalilisha jamaa
Vijana wa Mbowe mko wapi?View attachment 3172848

kura za CCM, chadema hakuna anyeweza kuja hapa kupiga kuraView attachment 3177892
Matokeo haya yanamaana gani kwa CHADEMA?
Hiyo ni kweli kabisa. Ni kama ilivyo CCM na vyama vingine vya upinzani. Kwenye mitandao vyama vya upinzani vina wafuasi wengi kweli lakini hawapendi na hawaendi kupiga kura. CCM tupo wachache sana mitandaoni lakini siku ya kupiga kura, heri tusile siku hiyo lakini LAZIMA tupige kura!Kura zikipigwa mtandaoni Lissu lazima ashinde. Ila zile nje ya mtandao inakuwa kinyume chake. Kisiasa Lissu ni mdogo kuliko Abdul Nondo
Kura zikipigwa mtandaoni Lissu lazima ashinde. Ila zile nje ya mtandao inakuwa kinyume chake. Kisiasa Lissu ni mdogo kuliko Abdul Nondo