KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Busara za mbowe na kutokuwa na maamuzi ya kukurupuka kwa kuweka kutumia vikao mbalimbali vya chama ndio imeiweka cdm mpk leo kwa muda wa 20yrs. Na ccm mpk leo wanamtaka mbowe aonndoke kwenye kiti. Msiendeshwe na mihemko. Hakupaswi kuwa na vita jengeni chadema imara zaidi
 
Dawa ya jeuri ni kiburi. Mbowe ni mtu mzuri mno amefanya mengi mazuri kwenye chama chake, kwa sasa anaeweza kuisimamisha chadema ni Lissu, apewe kijiti afanikishe. Lissu hacheki na kima yeyote kama anavofanya mbowe anaongea ila hachukui hatua.
 
kwa aliyofanyiwa naimani hatocheka na kima OOTE ILE...!!!

Naenda na. "T.A.L"
 
Interesting.... Mimi ni team TL, team disruptor aka wana mapinduzi
 
Kama Lisu hafai kwa sasa,Ina maana CHADEMA mwanzo walitaka Watanzania wampe uraisi mwanaharakati ,lakini mwanaharakati asiefaaa kuwa Mwenyekiti anafaa kuwa raisi
Pigakura
 
Teh teh teh teh
Watu wanapanga mipunga kwa wajumbe huko let's see
 
Amechokwa na watu pasipo sababu. Haya ndiyo maumbile ya mwanadamu, ndiyo maana hata Tigo wamebadili jina.
Jina wanalotumia kwa sasa hakuna mtu hata mmoja anayelikubali. Mimi pia ni mteja wao lakini siwezi tumia hilo jina. Ni sawa na Twitter kujiita x
 
Lissu kumbe ananguvu sana
 
Mr Dudumizi
Pitia na hapa
 
Naamini Tundu Lisu ni mtu sahihi kwa sasa, kwa sababu Diplomasia ya Mbowe haiwezi tena kuisukuma CHADEMA mbele. Kazi waliofanya ya kukijenga chama nchi nzima, inahitaji mzizimo mpya wa nguvu ya umma kudai haki. Muda wa mijadala umekwisha, na kwa hakika Mbowe hawezi kuleta mzizimo wa aina ya kushinikiza "pressure" tukimlinganisha na Lisu. Hivyo TL ni chaguo sahihi kwa wakati tulionao.
 
Sema wote ni wajinga wajinga maana walishabikia kifo cha Dkt Magufuli
 
Uchaguzi wa mwenyekiti chadema kufanyika tarehe 21 January 2025. Je kwa maoni yako na aina ya siasa nani anafaa kuwa mwenyekiti.
Piga kura .



Poll hii itakaa siku 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…