KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Mwenyekiti alishasema ANARUDI mzigoni. Kura sasa ya kazi gani? Maana hata TAL angekuwa anaungwa mkono na wajumbe wote 1200, bado mwenye chama lazima arudi mzigoni.

Hilo ni gumu kweli kuelewa?

Nadhani sasa tujadili ajenda nyingine muhimu zaidi. Hili la uenyekiti liliisha tangu sike ile mchana, TAM aliposema yupo na ataendelea kuwepo!
 
Kwamba atachakachua
 
View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA

Tanzania ni yetu sote!!

Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,

Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.

Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.

Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.

MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.

•••••••••••••
Lissu ni mwamba.
 
Lissu msomi Mbowe Zero
 
Mpaka mda huu mbowe hawezi tena kututoa hapa tulipo baadhi ya mambo ambayo alidhani yangefaa yamefeli, pili mbowe kuna kila dalili ameishaamua kuungana na watawala itakua ngumu kuwakosoa tena
 
Hivi wagombea ni wawili tu kwenye hiyo nafasi ya uwenyekiti? wengine hawataki?
 
Mbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
Uliwahi kuahidi kujichoma na petrol uchaguzi wa 2020 ila mpaka leo sijalisikia tukio lako. Vp ulijchomea kwenye keyboard? Au ulipost emoj ya moto basi ikawa tayari umetimiza lengo!
 
Pigakura moja tu,

Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,

Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"

Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
Tunaelekea ukingoni kabisa, Pigakura yako
 
Back
Top Bottom