Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Piga kuraMbowe mpigaji,
Kwamba atachakachuaMwenyekiti alishasema ANARUDI mzigoni. Kura sasa ya kazi gani? Maana hata TAL angekuwa anaungwa mkono na wajumbe wote 1200, bado mwenye chama lazima arudi mzigoni.
Hilo ni gumu kweli kuelewa?
Nadhani sasa tujadili ajenda nyingine muhimu zaidi. Hili la uenyekiti liliisha tangu sike ile mchana, TAM aliposema yupo na ataendelea kuwepo!
Lissu foreverUchaguzi wa mwenyekiti chadema kufanyika tarehe 21 January 2025. Je kwa maoni yako na aina ya siasa nani anafaa kuwa mwenyekiti.
Piga kura .
Poll hii itakaa siku 7.
Mkuu, kama huamini, wewe tunza hiyo komenti yangu, halafu tuombe uzima hadi mwakani kwenye hilo sekeseke. Famasikhara nini?Kwamba atachakachua
DuuuSisi CCM asilia tunaimani na Mbowe tu kwani ni Mzalendo wa kweli kwa Taifa na masilahi yake ni mama Tanzània tu.
Lissu ni mwamba.View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.
Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Balaa kubwaHuu mnyukano ni balaa aisee
Lissu msomi Mbowe ZeroView attachment 3172848

Acha kukurupuka tafuta thread ya kura ipo hapa muda mrefu... mbaafuzanguHebu tupige kura kidogo kulishauri baraza kuu la CHADEMA kwenye uchaguzi wake wa tarehe 21 Januari 2025.
Uliwahi kuahidi kujichoma na petrol uchaguzi wa 2020 ila mpaka leo sijalisikia tukio lako. Vp ulijchomea kwenye keyboard? Au ulipost emoj ya moto basi ikawa tayari umetimiza lengo!Mbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
Tunaelekea ukingoni kabisa, Pigakura yakoPigakura moja tu,
Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,
Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"
Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
Huwezi kumwelewa lisu ukiwa chawa au mchumia tumboMi sijui kwa nini tundu lisu sijawahi kumuelewa, bado nina amani na mbowe