Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleweka ila Mbowe astaafu tayari ana 63yrsPigakura moja tu,
Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,
Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"
Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
Naunga mkono hojaMbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
Wampe lissuView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-PIGAKURA

Happy Uhuru Day!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa walau 12 ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,
Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Kuna watu wamezaliwa kukomboa wenzaoKwanini mtu anangangania kuwa kiongozi wa Upinzani kwa mateso yote hayo?
Au Kuna faida wanapata?
Mbona Mandela alikubali kufungwa miaka 27 gerezani sababu ya wa-South? ni moyo wa mtuKwanini mtu anangangania kuwa kiongozi wa Upinzani kwa mateso yote hayo?
Au Kuna faida wanapata?
Mbowe nadhani apewe mitano ya mwishoView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Happy Uhuru Day!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa walau 12 ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,
Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Then Heche au Mwabukusi wangeweza kufaa zaidiMbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
Haahaa mbowe inataka awe mwenyekiti wa maisha eehNitakuwa ni mtu wa mwisho kuamini kuwa Lissu anautaka U MTEI!
Hata hivyo, binafsi sijaona zaidi ya Mbowe!
Mbowe Bado ni hazina chadema, apewe nafasi kwenye taasisi zingine za chama kama Baraza la wadhamini nkUmeeleweka ila Mbowe astaafu tayari ana 63yrs
Wewe ni Mwana CHADEMA?Mbowe apumzike kwakweli
Utawaconfront watu wanaotumia bunduki ?Mbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Happy Uhuru Day!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa walau 12 ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,
Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Wazee wa maandamano mwanzo mwisho na wachoma mabango ya Samia mnaulizwa huku.
Swali zuri lkn humu kulijibu. Ndiyo maana tunaumiza vichwa ili kupata the way forward. Kumbuka penye Nia siku zote pana njia.Utawaconfront watu wanaotumia bunduki ?