KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Maoni Yangu
Kwa masalahi mapana ya CDM na Upinzani kwa ujumla Mbowe anapaswa kuachia ngazi, Kwanini?
  • Mbowe ni Mchaga na CDM imekuwa founded na mizizi uchagani, Kitendo cha kuongozwa na Wachaga kwa muda mrefu inawapa hoja kubwa CCM kudai kuwa CDM ni chama cha Wachaga, Wananchi wengi wameiamini sana hii hoja (though sio kweli), kwa kuwa lengo letu ni kuwafikia wananchi wa chini kabisa Hii hoja tusiipuuze!
  • Pili, Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa Muda mrefu, amefanya Mengi mazuri ila Pia kafanya Horrible mistakes, i.e Kumpokea the Late ENL
  • Tatu, Umekuwa mwenyekiti kwa zaidi ya 20 YRS, bado unang'ang'ana tu? Hii inatupa alama kubwa ya kuuliza, Hata MaCCM yametuzidi kwenye Hili.
Mwisho ingawa sio kwa umuhimu, CDM ipate mwenyekiti nje ya Kaskazini ili Kupanua Ushawishi wake!
 
Wampe lissu
 
Mbowe nadhani apewe mitano ya mwisho
 

Tuache ushabiki Mbowe hajasema atagombea bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…