KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Mbowe
 
Baada ya GK kuimba nitakufaje zamu yetu kuimba Watakufaje😂😂
 
Swali zuri lkn humu kulijibu. Ndiyo maana tunaumiza vichwa ili kupata the way forward. Kumbuka penye Nia siku zote pana njia.
Wenzako wanatumia jeshi la polisi lenye bunduki na vifaru kufanya siasa wewe na maneno yako ya "peoples' power" people wenyewe wanathamini ngono na umbeya kuliko Siasa za nchi yao utawezea wapi ?

Mbona kipindi ccm wanafanya siasa za majukwaani Mbowe alikuwa anawahenyesha vya kutosha.

Tuwe wa kweli huyu Mzee tunamtupia lawama ambazo hastahili kabisa anafanya maridhiano ili kuokoa wanachama wake wasiendelee kutiwa ulemavu Kama alionao yeye na makamu wake.
 
Mbowe ni CCM
 
Umemsikia bwana Mbowe?
Ndiyo nimemsikia amesema ni jukumu la wanachama wa Chadema kuchagua nani awe mwenyekiti na kamwe siyo la wana ccm, na alimalizia kuwa bado hajasema kuwa atagombea. Na kuhusu Lissu alishatangaza mwenyewe kuwa atagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti, hivyo yote yanayoendelea mitandaoni na magazeti pendwa ya CCM yatabaki kuwa ni propaganda tu.
 
Mbona Mbowe tayari ameshashindwa?
 
Vip bado lisu kasema atagombea umakamu kwenye press yake bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…